Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Mi nawaambia sio achaneni na Whitney Houston, Celine Dion hawezi kuimba high notes kama zile anazopita Beyonce.
 
Hahaa tuzo alizo shinda nyingi za ajabu ajabu tu sijui za kitchen party .. hebu check za Whitney mtu kashinda tuzo za Grammy kibao za Guinness ndio alishinda zote alizowahi kushiriki mara 15,... huyo Celine hata kuwekwa kwenye nominees za Guinness hajawahi ....
images(137).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uwezo binafsi me naona Taylor Swift ni bora kuliko wote hao,,Celine Dion alikua anaandikiwa sana na mumewe yule aliefarikigi,,Kidogo Whtney Houston i can compare 2 Taylor swift,,
Top3 yangu ni-:
1-Taylor Swift.
2-Mariah Carey.
3-Jordin Sparks/Beyonce/Madona/Lady Gaga
Daah mkuu nenda milembe hahaa
rikiboy huyu ndugu yako kala maharage ya wapi aise ...

Sent using Jamii Forums mobile app[/USER]
 
Hahaa tuzo alizo shinda nyingi za ajabu ajabu tu sijui za kitchen party .. hebu check za Whitney mtu kashinda tuzo za Grammy kibao za Guinness ndio alishinda zote alizowahi kushiriki mara 15,... huyo Celine hata kuwekwa kwenye nominees za Guinness hajawahi .... View attachment 1004862

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitchen party..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani ulizaliwa miaka ya 70 pambaneni na Whitney wenu huyoo wa zilipendwaa... Celine dions balaa linginee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitchen party..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani ulizaliwa miaka ya 70 pambaneni na Whitney wenu huyoo wa zilipendwaa... Celine dions balaa linginee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa sasa tuzo gani zile hata majina hazina ... au ni ambazo alizokuwa anashinda wakati yupo High school !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu sasa ndo akalalee kabisa... Whitney was something else sema kwa wale wazee wa zamani.. vijana kwa kweli tunakuwa hatuwaelewii kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa huyo jamaa umeshampasia weed aise ..hahaa Celine kwa Whitney hapana ... lakini sio kwa hao sijui kina nani hawana hata uwezo robo wakumfikia hata huyo Celine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom