Shania twain balaaa naee..Kwa upande wangu napenda nyimbo za Celine dion kuliko za Whitney Houston
Alafu kuna haka kadada ka zamani kanaitwa Shania twin kananikosha sana na nyimbo zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Raggae mziki wa maisha yotee ulee... Japo hit songs ni chachee.. Lucky Dube[emoji119][emoji119][emoji119]Watu wa humu mlisema Michael Jackson ni zaidi ya Bob Marley, kwahiyo siwashangai mkimpa credit Celine Dion mbele ya Vocal Queen
Ooh All At OnceMnamkosea heshima tu bure Marehemu Whitney bado hakuna wa kufanana naye
Hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Whitney hatari sana, hatari mno.Habari wadau,kama ww ni mfuatiliaji wa muziki bila shaka utakuwa unawajua wanamuziki hawa.Je kwa mtazamo wako nani ana kipaji kuliko mwenzake?mimi kwa mtazamo wangu naonal Whitney houston ana kipaji kikubwa kuliko Celine Dion,wewe je unaonaje?
Acha kumshawishi mwache ajudge mwenyewe!!!Jitahidi kutafuta nyimbo za Whitney ni hatari
Wabongo bhana nawe unaimba punch ipi sasa ya chini ya andaki au!!! Tupunguze u much know wabongo!!Nilichogundua 'watoto' wengi ndio wanamjua Celine na kumshabikia, bado hawamjua Whitney. Celine Dion kwa tunaoujua muziki hata kwa Beyonce wa Jiga hatoboi maana na puch za juu mno. Nyimboza zote ni flat. Ila kwa tunaojua muziki tu ndio tuna Whitney ni nani
Kaabisa Mkuu waambie hao hawaujui Music hasa romantic song....DaahhNilichogundua 'watoto' wengi ndio wanamjua Celine na kumshabikia, bado hawamjua Whitney. Celine Dion kwa tunaoujua muziki hata kwa Beyonce wa Jiga hatoboi maana na puch za juu mno. Nyimboza zote ni flat. Ila kwa tunaojua muziki tu ndio tuna Whitney ni nani
Kama wewe hujui sio tatizo langu, tunachati humu hatujuani Professionals zetuWabongo bhana nawe unaimba punch ipi sasa ya chini ya andaki au!!! Tupunguze u much know wabongo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh Mungu Amlaze Mahala Pema Whitney Houston.One of my favorite songs from Whitney Houston
1. I'll always love you.
2. I look to you.
3. Greatest love of all.
4. Where do broken heart go.
5. I have nothing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh Mungu Amlaze Mahala Pema Whitney Houston.
Ndani ya Greatest Love of All.
.."I decided a long ago never to walk in anyone's shadow.
No matter what they take from me,
They Can't take away my dignity."
..."Show them All the beauty posses inside"
"I believe the children are our future,Teach them well and let them lead the way."
"Give tjem a sense of pride.To make it easier..Let the Childrens Laughter".
Pumzika Whitney Houston Tunakuombea.