Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Mnamkosea heshima tu bure Marehemu Whitney bado hakuna wa kufanana naye
Hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Apumzike kwa Amani lakini Dions moto mwinginee... Haji kutokea kama Dions mileleMnamkosea heshima tu bure Marehemu Whitney bado hakuna wa kufanana naye
Hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uko sahihi kabisa yaan whitney alikuwa na kipaji cha ajabu sauti yake sasa hatariHumtendei haki marehemu Whitney Houston kumlinganisha na Celine Dion. Whitney hakuna wa kumlinganisha nae kwenye kizazi chake. Mariah Carey aliwahi kusema, "Mimi naimba, na kuna wanamuziki wengi wa kike wanaimba, lakini Whitney sio levo zetu kabisa, ile ni mashine nyingine." Celine mlinganishe na Mcanada mwenzake Shania Twain.
hakuna kabisa aiseeMnamkosea heshima tu bure Marehemu Whitney bado hakuna wa kufanana naye
Hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Flat kama my heart will go on..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kalalee mzeeCeline Dion anaimba flat, usimfananishe na Queen wa vocals. I'm telling you the truth, not opinion, hata Beyonce anaimba high notes ambazo Celine hawezi kupita.
rikiboy jaribu kufuatilia nyimbo za whitney ni tamu balaaMbona hamuweki list ya hizo nyimboo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usibishane nae huyu ni shabiki wa mziki sii mfatiliaji wa mzikirikiboy jaribu kufuatilia nyimbo za whitney ni tamu balaa
Loved me back to lifeMy heart will go on
Power of love
Because u loved me
Thats the way it is
A new day has come..
Im Alive
Think twice...
Ebuuu achana na celine dions aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app