Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Yule jamaa namuelewa sana mkuiKwaya masta yule namkubali sana [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule jamaa namuelewa sana mkuiKwaya masta yule namkubali sana [emoji41]
If tomorrow is judgment dayHabari wadau,kama ww ni mfuatiliaji wa muziki bila shaka utakuwa unawajua wanamuziki hawa.Je kwa mtazamo wako nani ana kipaji kuliko mwenzake?mimi kwa mtazamo wangu naonal Whitney houston ana kipaji kikubwa kuliko Celine Dion,wewe je unaonaje?
Watoto wa 2000's (and above) hamuwezi kuelewa, nyie endeleeni na kina amber lulu wenu.Wotee ila nimajina ndo tofauti
Wewe celine na whitney wote wanaimbaWatoto wa 2000's (and above) hamuwezi kuelewa, nyie endeleeni na kina amber lulu wenu.
Whitney ni namba nyingine...mimi huwa nikisikiliza i will always love you nasisimka hadi machozi yanatoka.Mkuu uko sahihi kabisa yaan whitney alikuwa na kipaji cha ajabu sauti yake sasa hatari
My heart will go on ndo wimbo wenye hisia mpka mwisho wa duniaWhitney ni namba nyingine...mimi huwa nikisikiliza i will always love you nasisimka hadi machozi yanatoka.
Unajua nyimbo ngapi za whitney?Wewe celine na whitney wote wanaimba
SahihiWatoto wa 2000's (and above) hamuwezi kuelewa, nyie endeleeni na kina amber lulu wenu.
Whitney Houston was beautiful and talented nasikia nyimbo zake zilikuwa zikitumika kuwaamsha wagonjwa walio kwenye coma situation.
Sent using Jamii Forums mobile app
I will always love youUnajua nyimbo ngapi za whitney?
Vizuri! Sasa naomba usikilize moja baada ya nyingine nahakika hotochoka. Kama huna hizo nyimbo sema nikufanyie mpango.I will always love you
I have nothing
I want to dance with somebody
Greatest Love of all
One moment in time
Saving all my love
Its not right but its okey
I look to you
My Love is your Love
All at once
Nimechoka kuandika zote
Ni nzuri kweliVizuri! Sasa naomba usikilize moja baada ya nyingine nahakika hotochoka. Kama huna hizo nyimbo sema nikufanyie mpango.
Celine dion ni sauti ya malaika dunianiCeline Dion anaimba flat, usimfananishe na Queen wa vocals. I'm telling you the truth, not opinion, hata Beyonce anaimba high notes ambazo Celine hawezi kupita.
Whitney was legendary before she died Celine is not legendary