Njaa imeua credibility ya wengi waliokuwa elite. Kashfa za kila aina sio kitu kizuri kwa leadership inayoonekana na hata isiyoonekana.Unapo fuwatilia historia za mataifa yanaitikisa dunia kiuchumi, kitekinolojia, kiusalama na kisiasa basi nyuma ya mambo hayo wapo watu hatari wenye uwezo usio wakawaida kufanya maajabu hayo.
Swali natamani tulijadili kwa pamoja ni kujiuliza who are elites of this Nation? And what is the role they should play to change this nation?
Asante
Neno elites, hasa political elites si sifa nzuri.Njaa imeua credibility ya wengi waliokuwa elite. Kashfa za kila aina sio kitu kizuri kwa leadership inayoonekana na hata isiyoonekana.
Sijui kama wapo....naona kama wapo walafi wasioshiba
Kuna wengine ni technocrats...they just push buttons without really being in politics. They make the decisions even if the whole mass is against it.Neno elites, hasa political elites si sifa nzuri.