Who are Tanzanian elites

By elite unamaanisha kama yule Benjamin Franklin wa kwenye US $100 dollar bill?!
Exactly anamaanisha mtu kama huyo. Au mtu kama J. Edgar Hoover alivyokuwa Marekani kutokana na kuwa Director wa FBI kwa muda wa miaka zaidi ya 20. Au Henry Kissinger alivyokuwa Secretary of State na mhusika mkubwa wa sera za Marekani kwa muda mrefu.

Hao watu kwanza wana sifa ya kutokuwa na makandokando na hawafanyi kazi kwa njaa, hata awe Rais hawezi wababaisha
 
Mkuu hyo St Peters ni chuo au kambi ya kijeshi?
 
Nakuelewa sana. Much respect kwa lile baaad dude lenye kichwa chake kwenye$100 dollar bill. Hatolewagi series zote za banknote hiyo anakuwepo... jamaa litakuwa liliifanyia America wonders... na uyo Edger Hoover mwenyewe nikimsoma na kuangalia picha yake dah jamaa ana radiate power ya ukweli. Pamoja na Ulysses S. Grant wa kwenye $50 jitu sidhani kama lina nonsese yoyote... watu hawamuweki yule Abraham Lincoln mwenye definition yake ya democracy wanayaweka hayo majuba ambayo siyo popular
 
Kwa mitaala hii ya elimu tunayotumia ,sahau kabisa kupata hao ' the elites '
The elites are normaly born not made ! , it is the system that is supposed to nurse these towards pursuing their dream, ndo hapo akina bill gates na steve jobs wanapotokeza
Sio kwamba the elites to be, hawazaliwi bongoland, wanazaliwa wengi tu, bali wanazikwa na mfumo mbovu wa elimu yetu.
 
Nimali nimecheza nikiwa mdogo nitafurahi hata kama sio mmoja wao.
 
Grant ni General aliyesaidia pakubwa sana Marekani kuwa moja leo hii. Statesmen wa Marekani walikuwa wa kuaminiwa wala hauhitaji kumuongoza mtu kama anajua kitu. Sio kama sisi eti Professor anasema ng'ombe wamekunya na kukojoa kwenye mto ndio maana samaki wanakufa
 
Yaani hao maprofessor na timu nzima walizingua big time... hata kama ni kwa ajiri ya national interest atleast wasingetufanyia kana kwamba sie wote ni wabugia tope tu they should have lied better... report ile inaweza kuwa scrutinized hata na dogo la form two
 
Mtafute mtu anaitwa dudley Mawalla....utakuja kunishukuru...MD Consultants...
 
Kwa maslahi yepi ya taifa mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
training miaka 12?!.
that's a wastage of time and resources.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…