I was just wondering how they managed to survive for so long....or do they have political backup?
Roya Roy,
Hawa jamaa walianza kama utani vile.During the Moi era they
felt the Kikuyu's were being persecuted by the government of
the day na wakajiunga to counter Moi's aggression..Hata hivyo
with time this thing has metamorphosised into an amorphous
organisation and controlling them is next to
impossible.
Kisha wakati wa hizi kura za juzi inasemekana watu kama kina
Uhuru Kenyatta na wengineo were funding their activities.
More like being a protective group for Kikuyus who were being kicked
out of their homes in the Rift Valley.That is the kind of political
support they enjoy.Kisha kuna tetesi kua baadhi ya
mikutano ilifanywa right inside Ikulu...sasa wewe niambie how do you
control such a group especially wanapoaanza kuuwa watu, kuwakata vichwa na kuwachuna ngozi.
Basically the Govt of Kenya has to reign in on these guys one
way or another ama kutaharibika!