Who are you,who am i?

Who are you,who am i?

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,240
Ni swali ambalo kila mmoja akiulizwa jibu atakalo toa ni
kutaja jina lake,
kwa mfano nikiulizwa,who are you ,..nitajibu say "Speaker"!
Ila swali hili naamini ukijiuliza mwenyewe honestly kama navo jiuliza utataka ushauri
kujua wewe ni nani kama navotaka ushauri wenu!
Kama unajua wewe ni nani hongera,ila mimi,natafuta majibu,...

Who am i?
kwa mfano,
outside:siwapendi polisi kweli maana wametesa wazazi na juzi hapa
wame mnyanyasa sana mdogo wangu,i wish ningekua na bastola hivi,
au mabomu ili kila ntakapo muona polisi nimlipue tu,ila
inside: sipendi kuona damu ya binadam,hata mwenyewe niki jikata siwezi kuangalia
damu yangu,then kama hivi ndivo nilivo,haya mawazo yanatoka wapi?
who am i?
 
Najua kabisa kwamba,..."mtu anavo fikiria ndivo alivo"!!!
Lakini kwangu,inakua ni tofauti sana kwa kila ninalo fikiria,sivo nilivo!

Kwa mfano:
Outside:nikiona mtu kapata nafasi ya uongozi,hua napima kama ningekua mimi
ninge fanyaje kwa nafasi ile,kwa mfano ningekua mbunge wa Tarime mimi ningefanya nini?
nakuja na picha kubwa sana ya maendeleo,
jinsi ya kushirikisha wananchi katika maendeleo yao nk

Inside: sipendi siasa,na sipendi kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi
kama hivi ndivo,kwanini hua nakua na mawazo ya kujenga ninapo fikiria position flani?
who am i?
 
Ninae mchumba,tumekua pamoja kwa miaka5,
recently nimekua sijisikii kabisa kuongea nae,..
namchunia sana,..

Sijui kama nampenda au simpendi,ila sitaki kumpoteza!
Nime mfanyia vitimbi kibao ila hanikimbii wala nini,..

Deep inside najua kabisa kwamba siwezi au itakua vigumu sana
kumpata binti mwaminifu kama yeye,
kama najua hivi,kwanini namfanyia nayo mfanyia?
sijui,i need answers,
who am i?
 
You are who you are...SO WHO ARE YOU???You are you!!
 
Napenda sana kuongea na mabinti wengine ila sio
mchumba wangu,
nikiongea nae nakua sina story kabisaaaa!

Najua kabisa kwa kufanya hivi namuumiza,na najua kabisa
kwamba nikimuumiza naweza kumpoteza,sitaki kumpoteza
lakini bado sifanyi chochote kumfanya awe wangu siku zote,..

Kama najua madhara ya ninacho fanya kwanini bado nakifanya?
why?
who am i?
 
Ninajua njia rahisi kabisa ya kunitoa A kwenda Z,lakini
naweza mshauri mtu aifuate njia hiyo ila sio mimi kuifuata,...

Why,who am i?
 
You are who you are...SO WHO ARE YOU???You are you!!

Duh,
binadam ndivo tulivo!
Mtu akikwambia hajui hisabati uta mjibu "huja jishughulisha kuijua"!

Lakini ikweli ni kwaba yawezekana kabisa kwamba hesabu anazo jua ni tofauti
kabisa na zile unazo jua wewe,...
yawezekana wewe ujajua kuzidisha tu na kujumlisha,mwenzako hesabu zinazo mshinda ni calculus!

Had you turned my questions into yours,you would realize that you might
be in need of finding out who you really are!
 
Duh,
binadam ndivo tulivo!
Mtu akikwambia hajui hisabati uta mjibu "huja jishughulisha kuijua"!

Lakini ikweli ni kwaba yawezekana kabisa kwamba hesabu anazo jua ni tofauti
kabisa na zile unazo jua wewe,...
yawezekana wewe ujajua kuzidisha tu na kujumlisha,mwenzako hesabu zinazo mshinda ni calculus!

Had you turned my questions into yours,you would realize that you might
be in need of finding out who you really are!

I KNOW WHO I AM....na kama jibu ulilotaka silo nililokupa pole na samahani sana!‘

I‘m out!!
 
Back
Top Bottom