Who Are Your Best Football Prayers Of All Time?

Who Are Your Best Football Prayers Of All Time?

Hata Gerd Muller sijaona akitajwa....au hawa madogo wa humu hawamjui? Hata Marco Van Basten...Lothar Matthaus....Bobby Charlton...Hossam Hassan.....Johan Cruyff

kina Bebeto ,Careca ..
huyo Puskas kuna world Cup aliiongoza Hungary kupiga West German bao 8
halafu fainali wakakutana tena West German akachukua ubingwa kwa mbinu tu
 
1. Mwameja
2. Maldini
3. Carlos
4. Nesta
5. Cannavaro
6. Roy Kean
7. Ronaldo Christiano
8. Pirlo
9. Zidane
10. Ronaldinho
11. Okocha
 
kina Bebeto ,Careca ..
huyo Puskas kuna world Cup aliiongoza Hungary kupiga West German bao 8
halafu fainali wakakutana tena West German akachukua ubingwa kwa mbinu tu

Kwa hardcore fans wa soka, kumi bora ya all-time wachezaji ikikosa majina fulani mawili inakuwa kufuru!

Mengine yote ni debatable lakini hayo mawili hapana aisee. Hayawezi kukosekana kabisa na ndo maana nimekushangaa.

Hivi uliona zile heroics za Maradona alivyowapiga chenga Waingereza kuanzia katikati ya uwanja hadi akacheza na nyavu?

I can't believe you left him out. That's blasphemy.
 
Niliona hadi Peter Shilton akalalamika sana
Maradona na Pelle ni kings of football..

but kama una assemble team ukiwa na Messi anafanya yote ya Maradona and more
 
Niliona hadi Peter Shilton akalalamika sana
Maradona na Pelle ni kings of football..

but kama una assemble team ukiwa na Messi anafanya yote ya Maradona and more

Well, Messi hajawahi kushinda kombe la dunia! Hiyo ndo tofauti kubwa kati yake na Maradona. Alikuwa na fursa ya kufanya hivyo mwaka jana akashindwa na sasa sidhani kama atafanikiwa kutimiza hiyo ndoto yake.

Dah! Ebana yaani huwa sichoki kabisa kuangalia highlights za hilo goal of the century.

Jamaa walishindwa kabisa kumkaba kuanzia katikati ya uwanja!

Last edited by a moderator:
Toka nianze kufatilia mpira mwaka 96 kwenye michuano ya Euro pale England, hiki ni kikosi changu bora zaidi kuwahi kukishuhudia kwa macho yangu.
Mfumo: 4-3-3

Oliver Khan

Cafu, Marcel Desailly, Cannavaro, Roberto Carlos

Zidane, Xavi, Kaka

Messi, De Lima, Ronaldinho.

Sub:
Buffon
Lahm
Terry
Lucio
Scholes
Cr7
Ibrahimovic
Pirlo
Iniesta
Yaya Toure
Thierry Henry

Duh yaya toure 1996,kumbe wa siku nyingi hivo
 
1. Peter Shumichel

2.

3.

4.

5. Fabio canavaro

6.

7. Christiano ronaldo

8. Zizzou

9. De lima

10. Messi

11. Gaucho
 
Hata Gerd Muller sijaona akitajwa....au hawa madogo wa humu hawamjui? Hata Marco Van Basten...Lothar Matthaus....Bobby Charlton...Hossam Hassan.....Johan Cruyff

bomber of the nation...gerd muller
 
1. Mwameja
2. Maldini
3. Carlos
4. Nesta
5. Cannavaro
6. Roy Kean
7. Ronaldo Christiano
8. Pirlo
9. Zidane
10. Ronaldinho
11. Okocha

kati ya hawa uliowataja basi wanne wanecheza AC Milan
 
Back
Top Bottom