Hata Gerd Muller sijaona akitajwa....au hawa madogo wa humu hawamjui? Hata Marco Van Basten...Lothar Matthaus....Bobby Charlton...Hossam Hassan.....Johan Cruyff
kina Bebeto ,Careca ..
huyo Puskas kuna world Cup aliiongoza Hungary kupiga West German bao 8
halafu fainali wakakutana tena West German akachukua ubingwa kwa mbinu tu
Kwa hardcore fans wa soka, kumi bora ya all-time wachezaji ikikosa majina fulani mawili inakuwa kufuru!
Mengine yote ni debatable lakini hayo mawili hapana aisee. Hayawezi kukosekana kabisa na ndo maana nimekushangaa.
Hivi uliona zile heroics za Maradona alivyowapiga chenga Waingereza kuanzia katikati ya uwanja hadi akacheza na nyavu?
I can't believe you left him out. That's blasphemy.
Niliona hadi Peter Shilton akalalamika sana
Maradona na Pelle ni kings of football..
but kama una assemble team ukiwa na Messi anafanya yote ya Maradona and more
No Diego Maradona? Shocker!!
Toka nianze kufatilia mpira mwaka 96 kwenye michuano ya Euro pale England, hiki ni kikosi changu bora zaidi kuwahi kukishuhudia kwa macho yangu.
Mfumo: 4-3-3
Oliver Khan
Cafu, Marcel Desailly, Cannavaro, Roberto Carlos
Zidane, Xavi, Kaka
Messi, De Lima, Ronaldinho.
Sub:
Buffon
Lahm
Terry
Lucio
Scholes
Cr7
Ibrahimovic
Pirlo
Iniesta
Yaya Toure
Thierry Henry
halafu umewahi wasikia Eusebio? Puskas? Zicco?
nashangaa humu hawatajwi walikuwa way better than most wanaotajwa
Hata Gerd Muller sijaona akitajwa....au hawa madogo wa humu hawamjui? Hata Marco Van Basten...Lothar Matthaus....Bobby Charlton...Hossam Hassan.....Johan Cruyff
Duh yaya toure 1996,kumbe wa siku nyingi hivo
1. Peter Shumichel
2.Cafu
3.Carlos
4.Maldin
5. Fabio canavaro
6. Makelele Claudio
7. Christiano ronaldo
8. Zizzou
9. De lima
10. Messi
11. Gaucho
1. Mwameja
2. Maldini
3. Carlos
4. Nesta
5. Cannavaro
6. Roy Kean
7. Ronaldo Christiano
8. Pirlo
9. Zidane
10. Ronaldinho
11. Okocha
kati ya hawa uliowataja basi wanne wanecheza AC Milan
Kaka...kipindi kile ac millan ilikuwa ni tatizo na great players wamepitia hapo