Who created God? Who made him? Where did he come from?

In beggining there was the word and the word was with God, which i find pretty confusing.

You shld not be confused my friend;read btn the lines and as much bible "books"to understand.
 
even the bible failed to explain about this question dude..
 
TIME is the measure of changes in matter. Changes is something which is finite, so U can NOT have an infinite amount of finite things. Therefore Time is Finite. There could not have been an infinite amount of time ( changes ) before right now, because we never would have reached this moment in time. Therefore time has a beginning and you cannot have matter without time because when do you put it?
based on Time Finite logic this is purely insufficient to proof the time as being finite. How do you categorize the time? from millseconds to hour we had a day to week which lead to year decade then century, which based on numbers. Do you use the same logic to conclude the number is Finite?
 
Habari bwana Kiranga
Tatizo lako ni kwamba huwa hauwezi kufocus kwenye mada moja kwa sababu ya kuwa na information nyingi zaidi ya unazohitaji, I wish nikukute siku kichaa chako kimetulia kiasi cha kuweza kufocus kwenda mada ya msingi, hakuna kitu kirahisi kama kuproove chochote kile kuhusu mambo ya Mungu.
 
We na Uchawi wako huko huko!
 
Mie mmeshanicha phemba nalugha mchanganyiko hapanimepa kwabahati mbaya.Mungu amekuwa shemeji yenu?Nauliza!
 
Siku ambayo mwanadamu atajua Mungu katokea wapi na kaumbwa na nani basi huyo hatakuwa ni Mungu

THEREFORE WHO CREATED GOD?
God has never been created by anything because for something to be created, it must exist with matter, time and space, something that exist without matter, time and space can never be created, God existed without matter, time and space, he is actually the one who created matter , time and space and therefore cannot be created.
If any one ask you a silly question like who created God, then let him see this article.

SOURCE: http://www.mungwakabili.blogspot.com
 
SOURCE: ULIMWENGU USIONEKANA
 
Mungu kawa invented na mwanadamu!
 
Habari bwana Kiranga
Tatizo lako

You are starting on the wrong foot, by being condescending. Kwamba nina tatizo. I do not like that. Kama nina tatizo argue your way to that conclusion, even leading me to it in a Socratic manner. Do not brandish your opinion as fact.

ni kwamba huwa hauwezi kufocus kwenye mada moja kwa sababu ya kuwa na information nyingi zaidi ya unazohitaji,

Unajuaje kwamba ku focus ni kitu kizuri na si kibaya? Unajuaje kwamba habari nzima inavyozungumziwa si very narrowly na kunahitajika discussion pana zaidi? Unajuaje kwamba mimi nina information nyingi zaidi ya ninazohitaji na si wewe ambaye huna information nyingi kama unazohitaji?

In any case, wewe mwenyewe umeshindwa ku focus kwenye mada yako - tatizo langu la kukosa focus- kwa kunieleza nakosaje focus, kwa mifano, ili kama ni kweli niweze kujirekebisha. Contrary to popular belief, Kiranga is a very reproachable fellow. And once he realizes genuinely he is in the wrong, admitting and correcting the mistake is no biggie. There is much learning in that outlook.

Sasa hunisaidii kwa kuweka mambo jumlajumla, niambie vipi nakosa focus, wapi, ku focus kungenisaidia vipi zaidi hapa, na pale, etc.

Usininyime elimu.

I wish nikukute siku kichaa chako kimetulia

Some would take this negatively, I choose to take it as a dilapidated compliment bent on itself.

Tunakutana hapa. Uzuri wa focus ni kwamba, unavyozidi ku focus ndivyo unavyozidi kuona kwamba utajua zaidi kuhusu habari finyu, na kujua zaidi kuhusu habari zaidi inabidi u combine focus na big picture thinking.

One does not get to see a picture clearly by focusing on one pixel, all one will see will be a blur.

One gets to see a picture clearly by adopting the stance of maximum big picture focusing that allows for maximum pixelation.

kiasi cha kuweza kufocus kwenda mada ya msingi, hakuna kitu kirahisi kama kuproove chochote kile kuhusu mambo ya Mungu.

Hakuna kitu rahisi kama ku prove chochote kile kuhusu mambo ya mungu?

Did you even read what you wrote?

Wanafalsafa wamejadili proofs za mungu, mpaka wengine wamesema haiwezekani kuwa "proved" one way or the other, wewe unasema hili ni swali rahisi?

Au una maana hakuna kitu kigumu kama hiki?
 
the god that atheists hawakubali ni the Jewish god (I.e the Christian and Muslim gods)....you don't need quantum physics to prove that the Jewish god doesn't exist!!!!! Usihangaike.
 
the god that atheists hawakubali ni the Jewish god (I.e the Christian and Muslim gods)....you don't need quantum physics to prove that the Jewish god doesn't exist!!!!! Usihangaike.

That one along with any supernatural godhead.
 
Ndio kile kile nilichokieleza, huku ukiwa unaelewa hoja yangu ya msingi ni nini. umeachana na hoja hiyo umerukia kwenye mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…