Who created God? Who made him? Where did he come from?

Kaka, kama wapo nitawashangaa sana. Ni bora uamini kuwa yupo na ukikuta hayupo huna cha kupoteza kuliko kinyume chake


Kiranga alishawajibu kuwa huko ni sawa na kuuziwa Mbuzi ndani ya Gunia.

Na yeyote anaekimbilia kuhitimisha hii mada kama ambavyo umefanya wewe ni vivu la kufikiri
 
God~ is uncreated creator of the universe.. yani ni muumbaji wa ulimwengu ambae hakuumbwa...God came from no where,why? Kwasabab there was no where for him to come from. Alikuwepo kabla ya kitu chochote. Kumuelezea Mungu ni kama kujaribu kuichota bahari na kikombe.... ww jua tu kuwa Mungu yupo,alukuwepo na atakuwepo milele. Ni hayo tu.
 
na katika watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu,wala uwongofu, wala kitabu chenye nuru.22-8
 
na katika watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu,wala uwongofu, wala kitabu chenye nuru.22-8

Kwa majibu Muhammad na YESU mwenyewd; Wa kitabu chenye nuru
. ni injili ya YESU. Injili ndio nuru
 
Mtu akianza kuhoji juu ya uwepo au mwanzo, huwa anachanganyikiwa. Yampasa mtu kuufurahia uwepo wake hapa duniani. Kimoja ni kwamba tumia akili, vipaji, hekima na busara kutengeneza maisha yako, wanaokuzunguka, mpende kila mtu na epuka kulalamika, kulaumu na jitume kwa yote kuwa mema. Utaujua uwepo wa Mungu baada ya kufa. Hapa nina maana hoja hii ilianza kuwepo tangu kuwepo kwa mtu. Kwa maana ana uwezo wa kuwaza na kuwazua. Kuna kuishi, kufa, hakuna maisha ya baadaye. Usijazwe woga. Wahubiri wengi ni kama waganga wa kienyeji. Wanatumia ujanja kuishi kwa kutumia ujinga wa mtu kama mazingaombwe. Fanya kazi uli uyafurahie maisha.



 
Kiranga alishawajibu kuwa huko ni sawa na kuuziwa Mbuzi ndani ya Gunia.

Na yeyote anaekimbilia kuhitimisha hii mada kama ambavyo umefanya wewe ni vivu la kufikiri

Huyo Ni Kiranga. Maana Ya Kiranga Ni Shetani. Naamini Hapo Anatumia Akili Ya Somo Wake.

Msitake Kumdhihaki Mungu Tafadhali.

Pia,ni Bahati Mbaya Sana Ndugu Zetu Waislam Huchachamaa Pale Tu Mtu Anapomgusa Muhhamad ( S.A.W).

Lakini Hata Mtu Angemdhihaki Vip Mungu{kama hivi},Huwaoni Wakija Kushambulia Wadhihaki Hao.
 
Mnazunguka sana,jibu hili hapa:

Jibu: Binadamu ndiye aliyeumba mungu.

Nathibitisha:
Nitazungumzia dini mbili tu ambazo ni uislamu na ukristo ili kufupisha maelezo:

1.Waislamu na wakristo wote wanasema na wanajua kwamba mungu ni mmoja tu.

2.Mungu wa wakristo ana nafsi tatu,baba,mwana(yesu) na roho mtakatifu.Hamna mkristo anayepinga hili.

3.Mungu wa waislamu ana nafsi moja tu,hajagawanyika,na waislamu wanasema na wanajua kwamba yesu sio mungu.Hamna muislamu anayepinga hili.

4.Maelezo namba 2 na 3 yanathibitisha kwamba mungu wa wakristo ni tofauti na yule wa waislamu,hivyo maelezo namba 1 yanapingwa moja kwa moja na namba 2 na 3.Hivyo basi,mungu si mmoja,ni zaidi ya mmoja.

5.Hapo mwenye akili timamu ataelewa kwamba binadamu ndiye aliyeumba mungu

Tumia akili kusoma ili uelewe ninachomaanisha ili usije kuniuliza swali bovu.
 

sasa tukitumia elimu yako inayotokana na kufungwa jela ya kiakili kwa kumchunguza Mungu kwa kadri ya waislam na Wakristo ambao kimsingi wako jela kama wewe mwenyewe nasi tutakuwa wafungwa wa kifikra.
Mchunguze Mungu pasipo kujiweka mahabusu ya kifikra ili ujenge hitimisho lenye mantiki.
Mungu waweza kumchunguza katika picha kubwa, japo naona itakuwa ngumu kwakuwa unauguwa gonjwa sugu liitwalo "cognitive dissonance"
pole sana; kwa kutumia nguvu kubwa na juhudi kubwa kumchunguza mungu uliyemuumba mwenyewe na huo ndio upu.mbavu wa daraja la juu mnooo!
 

Bangi zmeshakuharibu.
 
Nkwesa Makambo ,mungu wako ana nafsi ngapi?nataka nijue uko kundi gani ili tuanzie hapo.Kama hujui basi humjui mungu wako,kama humjui mungu wako,kipi kinachokufanya ung'ang'anie uwepo wake?

Jungle Warrior ,imani ndizo zimekufanya uwe na ukomo wa ufahamu.Nakupa elimu ya bure:
Unasema bangi imeniharibu,je unajua ulichosema au unasema kwa kasumba tu kama unavyoamini kuwa mungu yupo?
Fuatilia vizuri mmea huu na utajua mambo yaliyofichwa ndani yake.Hakuna mmea wenye faida nyingi zaidi ya mmea wa bangi duniani,ukishindwa kufuatilia niulize nitakufundisha bure halafu utathibitisha kwamba wewe una ukomo wa kuelewa.
 

sina mungu wangu...hivyo sina mungu mwenye nafsi
 
''sina mungu wangu...hivyo sina mungu mwenye nafsi''

Discussion closed with you,bado mmoja namsubiri.
 
Every time i think about this my head goes into a spin.

Why is the diffucult to understand....is it beyond

Humans to understand?
 
Kama ungejua siku yako ya kufa ambayo unashuhudia kifo tungejua ulichouliza
pia ungejua maana ya kifo tu tungeendelea
 
Keep thinking because you won't get any clue let alone answers from any of us.If we had known un answer we'd have met with the almighty god long ago.Goodluck!.
 
Binadamu tuna mabo kweli...........huyu nae ana haya!


 
Be careful with your question? Ask yourself these questions::
If Albert Einstein was intelligent where did he get his abilities from??
If there is LOVE where does it comes from?

Continue to ask ,,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…