WHO else is a true FAN of Saida Karoli?

Kwa kweli huyu mama ana kipaji mno nyimbo zake zina mvuto mno
 
Nyimbo zake huwa nikisikiliza sizichoki japo kihaya sielewi
Ungekielewa ungezipenda zaidi,,, nyimbo zake nyingi ni mapenzi aina flani ya mitongozo na kumpamba mwanamke/ kigoli


Mashairi yametulia ndo vile enzi hizo video hazikuwa na quality nzuri lakini akitokea mtu wa kutumia nyimbo zile kufanyiwa video kali ya kisasa pasipo kubadili mandhari ya uasili.....itapendeza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mama yuko Bukoba kwa Sasa kapotea
 
Sijui hata alipo ....marehemu Ruge alijitahidi kumrudisha naona amepotea tena

Halafu nyimbo zake za siku hizi si nzuri vifupi na ubongo fleva mwingiii zimepoteza uasilia kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah zile za zamani SI mchezo nilichukua flash nikawekwa kwa gari nikaaanza Safari ya dar to musoma haikika mpka tunafika musoma sichoki kuendesha na Wala sikuwa na uchovu wa Safari Nikiwa na ndugu zangu wawili...huyu mdada alijua Sana siku hizi kaweka ubongofleva anaharibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…