WHO else is a true FAN of Saida Karoli?

WHO else is a true FAN of Saida Karoli?

Nkyali muto ni kali mno ile ngoma na video yake yule mdada ile miguu .....aisee

Ukisikiliza na ukaelewa nyimbo zake za zamani huwezi kushindwa kumtongoza mwanamke kwa kutumia mistari ile akachomoka

Alijua kupamba mwanamke sijui nani alikuwa anamtungia.....nimemiss sana zile ladha jamani

Kuna nyingine inaitwa Jane ....haukuwika lakini wimbo mtamu sana ule

Kizunguzungu huo ulikuwa wimbo wa taifa nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli huyu mama ana kipaji mno nyimbo zake zina mvuto mno
 
Nyimbo zake huwa nikisikiliza sizichoki japo kihaya sielewi
Ungekielewa ungezipenda zaidi,,, nyimbo zake nyingi ni mapenzi aina flani ya mitongozo na kumpamba mwanamke/ kigoli

Mashairi yametulia ndo vile enzi hizo video hazikuwa na quality nzuri lakini akitokea mtu wa kutumia nyimbo zile kufanyiwa video kali ya kisasa pasipo kubadili mandhari ya uasili.....itapendeza sana

Huyu mama yuko Bukoba kwa Sasa kapotea
 
Sijui hata alipo ....marehemu Ruge alijitahidi kumrudisha naona amepotea tena

Halafu nyimbo zake za siku hizi si nzuri vifupi na ubongo fleva mwingiii zimepoteza uasilia kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah zile za zamani SI mchezo nilichukua flash nikawekwa kwa gari nikaaanza Safari ya dar to musoma haikika mpka tunafika musoma sichoki kuendesha na Wala sikuwa na uchovu wa Safari Nikiwa na ndugu zangu wawili...huyu mdada alijua Sana siku hizi kaweka ubongofleva anaharibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom