Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

Hapana bana...wakati wa depression raisi wa Marekani alikuwa FDR na alihutubia taifa kupitia luninga. Check your facts again.

Nyani,

FDR alichukua nchi ikiwa tayari imeharibika, na ndipo depression ilipofikia kilele.

Nitajisahihisha kwa kusema waliokuwa madarakani na kuboronga mpaka great depression kuzaliwa walikuwa Calvin Coolidge na Herbert Hoover ambao ni republicans (CCM ya Marekani)!
 
Mjomba unazidi kuboronga na usipindishe post yangu. Kuna tofauti kubwa sana kati ya KNOWLEDGE AND EDUCATION.

Nigeria au Tanzania kuna vyuo vya elimu, vinavyowasaidia watu kuelimika katika fani mbalimbali. Lakini suala nililozungumzia ni KNOWLEDGE. University zote zinafundisha general education au theories ya displine fulani. Na mfano mkubwa ni mijadala ya hapa JF. Lakini kwenye applications au kutatua matatizo unatakiwa uwe na SPECIALIZED KNOWLEDGE kitu ambacho waMarekani wanacho cha kutosha.

Suala la Tanzania kupitwa na nchi zingine ni suala la PUT YOUR MONEY WHERE YOUR MOUTH IS.

specialised knowledge inapatikana wapi? na kwanini iwe ni tunu wa Wamarekani kiasi kwamba "wanacho cha kutosha"? Halafu kuhusu Vyuo vikuu kuwa vinafundisha "general education au theories ya discipline fulani" sijui ni chuo kikuu cha kijiji gani kinafanya hivyo!
 
Hapana bana...wakati wa depression raisi wa Marekani alikuwa FDR na alihutubia taifa kupitia luninga. Check your facts again.

McPalin,
Ilikuwa ni redio. Luninga lulikuwa bado kuenea nchi. Unakumbuka fireside chats zake? Ilikuwa ni redio.
 
Mjomba unazidi kuboronga na usipindishe post yangu. Kuna tofauti kubwa sana kati ya KNOWLEDGE AND EDUCATION.

Nigeria au Tanzania kuna vyuo vya elimu, vinavyowasaidia watu kuelimika katika fani mbalimbali. Lakini suala nililozungumzia ni KNOWLEDGE. University zote zinafundisha general education au theories ya displine fulani. Na mfano mkubwa ni mijadala ya hapa JF. Lakini kwenye applications au kutatua matatizo unatakiwa uwe na SPECIALIZED KNOWLEDGE kitu ambacho waMarekani wanacho cha kutosha.

Suala la Tanzania kupitwa na nchi zingine ni suala la PUT YOUR MONEY WHERE YOUR MOUTH IS.

Zakumi,

Is is Nyerere's fault kuwa tuna watu waliosoma lakini hawajaelimika na hawana maarifa?

Azimio la Arusha katika kuongelea kuondokana na ujinga na umasikini, linaongelea umuhimu wa kuwa na juhudi katika kazi na maarifa ili kujenga jamii yenye kujitegemea.

Je Watanzania wamefanya jitihada gani pamoja na "Usomi" wao kuongeza maarifa, ubunifu, ufanisi na juhudi katika kazi?

Ninachokiona ambacho si kosa la Nyerere wala Ujamaa au Azimio la Arusha ni tabia binafsi.

Watanzania (hata Waafrika kwa ujumla) ni wavivu! Sisi ni watu wavivu ambao bado hatujaamka kugundua kuwa hatuko zama za mawe kwenda kuwinda nguchiro na kukusanya kipande kimoja cha mzizi na kujipatia mlo wa siku.

Uvivu wetu ni wa kufanya kazi kwa bidii na kwa ziada, uvivu wa kufikiria, uvivu wa kila namna ambao unatufanya tuwe hapa tulipo, masikini tuliolimbikwa na utajiri mwingi lakini hatutaki kufany akazi yeyote, tunasubiri mwingine aje afanye hiyo kazi au atupe kamsaada nasi tuendelee na "Mwendo mdundo" kama Jasusi anavyosema na kutanua kama Kikwete!

Tuna wachumi kibao, je wamefanya nini cha upembuzi kuunda mfumo wa kiuchumi utakaowiana na mazingira na jamii zetu zaidi ya kurudia principles za Adam Smith au professa wao wa Shule?

Tuna Wahandisi wengi tuu, je wamefanya nini baada ya kuhitimu na "kuelimika" kuoanisha walichojifunza na kukigeuza kwa ubunifu wa kutengeneza vitendea kazi au kubadilisha mfumo wetu wa kujenga uchumi kwa kutumia Sayansi?

Je mabwana Shamba, mifugo na uvuvi wamemsaidia vipi Mtanzania kuachana na kilimo cha kuhemea cha kula leo kesho Mungu atajua?

Tuna wahasibu, watu wa masoko na kadhalika, je wamefanya nini kutumia kisomo chao kumfundisha Mtanzania jisni gani ya kupanga mahesabu hata kujipatia faida?

Listi ni ndefu, lakini hatuwezi kusema kushindwa kwa watu hawa kunatokana na mtu mmoja, Nyerere na Ujamaa wake au Azimio la Arusha.

Ukisoma Azimio, linazungumzia umuhimu wa kuachana na imani na tabia za kijima, za zama za mawe. Lakini sitawalaumu Watanzania tuu, je yaliyosemwa kwenye Azimio la Arusha na hata Siasa ya Ujamaa na kujitegemea yalikuwa ni ya upeo wa hali ya juu kwa Mtanzania kulielewa?

Hata mimi nikisoma shule na kunyweshwa Juisi ya Azimio sikulielewa, nililichukia na kuliona ndio chimbuko la umasini. Lakini nilipoanza kuingia utu uzima na kupanua wigo wa mawazo, ndipo nilipokuja baini kuwa Azimio halikuwa baya, ni utekelezaji ndio ulikuwa una matatizo na makosa.

Umezungumza vyema kuhusu Knowledge, lakini Watanzania wana "Will" ya kuitumika Knowledge na hivyo kupata Maendeleo ya kisasa?

Tulichobakia nacho Watanzania na Watu Weusi kwa ujumla ni ufinyu wa mawazo na kasumba ya kutaka wote tuwe "Wazungu Weusi". Mtu akimaliza Elimu hata kwa ngazi yoyote, kiburi cha kujiona msomi kinaanza, anataka alipwe makubwa na apewe mafao makubwa, lakini kufanya kazi hiyo kwa bidii na awe mzalishaji mzuri hataki.

"I am a graduate, give me my entitlement" has become a common phrase and song from majority of us who have attended Universities. We want to be paid Mega salaries, with houses, cars and all fringe benefits, but we are yet to translate our education and knowledge into productivity and efficiency!

Wanasemaga Wanugu, "Pimp my Ride", sisi tunasema Pimp our Lives, tunashindwa kuwa wachapa kazi na wabunifu ili tuwe na maendeleo na kuongeza ubora wa Maisha ya Mtanzania, tunataka dezo na haraka haraka ya kupata maisha.

Kama ni hivyo, si tujiunge na wale wenzetu ambao siku zote huona bora nichomeke shina moja la muhogo na mbaazi alimradi leo nimepata chakula na kesho ni ya Mungu?

Pondamali kufa kwaja, ndio tulichobakia tukikifanya Watanzania na si Azimio, Ujamaa au Nyerere waliotufikisha hapa!
 
McPalin,
Ilikuwa ni redio. Luninga lulikuwa bado kuenea nchi. Unakumbuka fireside chats zake? Ilikuwa ni redio.

It was just a joke! Joey 'Gaffe A Day' Biden ndio alisema hivyo pamoja na ujuaji na experience yake.....
 
specialised knowledge inapatikana wapi? na kwanini iwe ni tunu wa Wamarekani kiasi kwamba "wanacho cha kutosha"? Halafu kuhusu Vyuo vikuu kuwa vinafundisha "general education au theories ya discipline fulani" sijui ni chuo kikuu cha kijiji gani kinafanya hivyo!

Labda general education ilikustua. Ngoja nitumie general knowledge ya displine fulani. Ukiwa Electrical Engineer, utajifunza principal za electrical engineering. Ukiwa Mchumi utajifunza principal za uchumi.

Lakini ukimaliza shule na ukitaka kuja na application ni lazima uje na specialised knowledge ya kile unachokifanya.

Kwa mfano ukiwa Electrical Engineer, utajifunza utaalamu wako katika IDEAL SITUATION. Kama ni kusambaza umeme, utajifunza kusambaza umeme bila kujali sana mazingira. Lakini ukiwa kazini ni lazima uangalie hali ya hewa ya sehemu, population ya watu na miundo mbinu inayotumika.

Vilevile mwanafunzi wa uchumi hana data zozote kuhusiana na maendeleo ya sasa ya kiuchumi. Atajifunza depression ya miaka 30 na vitu vingine. Lakini akianza kazi itabidi ufanisi wake utokane current data na specific knowledge ya ku-zichambua data.

Na ikiwa vyuo vikuu vitataka kufundisha elimu hili watu watoke wakiwa ni wajuzi basi digrii ya kwanza itachukua zaidi ya miaka kumi kuimaliza.

Tutaendelea kubishana kwa sababu enzi yako mliajiliwa kuwa mameneja baada ya kumaliza shule. Sisi tulioanza na Entry Level Position tunajua ukweli wa mambo.
 
Hivi leo hii tukiulizwa ni ideology (itikadi) gani inaliongoza Taifa letu tunaweza kusema kwa uhakika ni ipi na kwanini?
 
Companero:

Wewe unatumia misuli sana kijana. Umefika wakati uanze kutumia akili. Unaposema njia kuu za uchumi, je unaweza kuzitaja ni njia zipi?

kumbuka wakulima wadogo wadogo wa Kahawa wanaweza kuliletea pato kubwa taifa na kulifanya zao hilo kuwa moja ya njia kuu za uchumi. Je inabidi watanzania kumiliki uzalishaji na uuzaji wa zao hilo kwa pamoja?

Zateni kumbuka kuwa mjumbe hauawi. Tofautisha kuripoti na kuchambua. Hapo nilikuwa naripoti nini Azimio lilidhamiria. Haihitaji kutumia msuli kutoa muhtasari wa Azimio. Kalisome. Kama umeshalisoma kalisome tena. Nia yake ilikuwa kushika njia kuu za uchumi. Sasa njia hizo zimebinafsishwa na hali ni mbaya!

Mwalimu alishakiri kuwa alichemka kutaifisha kilimo hivyo hapo anakubaliana na wewe. Kasome tena yale mahojiano yake niliyoyaambatanisha kwenye huo muhtasari wangu wa Azimio. Kama angepewa nafasi ya kujaribu tena Mwalimu angewaachia vihamba vyenu vya kahawa mvilime kibinafsi. Ila kamwe asingewaachia CITY WATER na IPTL wamiliki njia kuu za ugavi wa maji na umeme!
 
Labda general education ilikustua. Ngoja nitumie general knowledge ya displine fulani. Ukiwa Electrical Engineer, utajifunza principal za electrical engineering. Ukiwa Mchumi utajifunza principal za uchumi.

Still huelewi maana ya Chuo Kikuu. Nitumie mfano wako; Electrical Engineer hajifunzi tu "Principles za Electrical engineering". Kanuni hizi nyingi mtu unajifunza kuanzia masomo ya kwanza ya Physics na hata ukienda A level. Kanuni hizo za fizikia unazojifunza kwenye hizo level ni msingi wa kuingia ndani zaidi katike elimu hiyo.

Mtu anapoenda Chuo Kikuu kwenye shahada ya kwanza anaenda kuchukua advanced coursework ya elimu hiyo ili hatimaye siyo tu ajue kanuni zake lakini ajue application yake na hatimaye mtu anafanya kuwa ni career yake. Huyo ameanza kuspecialize katika knowledge yake. Akienda huko huko Chuo Kikuu na kufanya shahada ya Uzamili basi anataka siyo tu kujua electrical engineering kama kazi lakini anataka kubobea katika hiyo fani na kuwa mtaalamu. Na akiamua kujifunza zaidi na kuanza kuchambua nadharia na kutengeneza nadharia mpya na hata kuleta changamoto ya ujuzi wa fani ya electrical engineering basi huyo mtu ataenda Chuo Kikuu na kufanya shahada za Uzamivu na kuwa Bingwa.

Sasa katika hayo yote msomi huyo hajifunzi mambo ya mwaka 40 tu bali anajifunza mambo hayo ambayo ni relevant na ulimwengu wa kuelewa sayansi hiyo. Hivyo mtu wa fizikia akienda kuwasoma kina Einstein au mchumi akienda kusoma "Wealth of Nations" ya Adam Smith siyo kwamba anasoma outdated works of knowledge bali anasoma vitu ambavyo ni relevant katika kuelewa sayansi au elimu anayojifunza sasa. HIvyo, hakuna ubaya au tatizo lolote kwa msomi wa Chuo Kikuu kusoma elimu ya miaka 30 iliyopita kama unavyotaka kuashiria.

Lakini ukimaliza shule na ukitaka kuja na application ni lazima uje na specialised knowledge ya kile unachokifanya.

Unaposema specialized ndio inaturudisha katika kubobea na kuwa bingwa katika elimu. Lakini kama unataka kuzungumzia experiential knowledge na hasa ukisema application of that specialized knowledge utaona kuwa basi kuna watu ambao hawajaenda hata chuo kimoja lakini wanajua kanuni mbalimbali za elimu na wanaweza kufanya kazi vizuri tu na kwa mafanikio. Ndio maana wanasema hakuna Mwalimu mzuri kama mang'amuzi. Sasa application inakuja baada ya mtu kujua na ujuzi unakuja aidha kwa kwenda kupiga kitabu au kwa mang'amuzi au mchanyato wa yote mawili. Application haiji kutoka hewani.

Kwa mfano ukiwa Electrical Engineer, utajifunza utaalamu wako katika IDEAL SITUATION. Kama ni kusambaza umeme, utajifunza kusambaza umeme bila kujali sana mazingira. Lakini ukiwa kazini ni lazima uangalie hali ya hewa ya sehemu, population ya watu na miundo mbinu inayotumika.

Sijui ni Chuo gani unachokwenda ambacho kinafundisha watu kwenye "ideal situation". Chuo hicho ningehama. Chuo Kikuu kizuri ni kile ambacho kinakufundisha watu hizi ideal lakini kinakupa mazoezi in what is real. Hivyo msomi wa umeme hajifunzi tu kwenye maabara lakini ataenda kufanya mazoezi Consumer Energy au DTE Energy (or whatever Energy firms you have in your town). Na mtu anayesomea biashara ataenda kufanya mazoezi ya vitendo na kukabiliana na matatizo ya kweli kwenye makampuni n.k Chuo ambacho kinawafungia wanafunzi wake kwenye "ideal situation" hakiwezi kamwe kuwa Chuo Kikuu isipokuwa Kituko Kikuu.

Vilevile mwanafunzi wa uchumi hana data zozote kuhusiana na maendeleo ya sasa ya kiuchumi.

Huyo mwanafunzi itabidi afukuzwe shule au aombe ahame. Ungekuwa kwenye madarasa ya masomo ya Biashara basi hakuna mada nzuri sasa hivi kama hali ya uchumi ya ulimwengu wa sasa. Chuo Kikuu ambacho kinafundisha uchumi lakini kikawa kinazungumzia mambo yasiyohusiana na "data zozote kuhusiana na maendeleo ya sasa ya kiuchumi" itabidi kifungwe kwani kinadhalilisha na kuabisha dhana nzima ya Chuo Kikuu.

Atajifunza depression ya miaka 30 na vitu vingine. Lakini akianza kazi itabidi ufanisi wake utokane current data na specific knowledge ya ku-zichambua data.

Nirudie tena?

Na ikiwa vyuo vikuu vitataka kufundisha elimu hili watu watoke wakiwa ni wajuzi basi digrii ya kwanza itachukua zaidi ya miaka kumi kuimaliza.

Duh! I'm dizzy!

Tutaendelea kubishana kwa sababu enzi yako mliajiliwa kuwa mameneja baada ya kumaliza shule. Sisi tulioanza na Entry Level Position tunajua ukweli wa mambo.

That explains it...
 
Koba,Zakumi,Nyani McCain,Kuhani,Kafara,Pundit,Kishoka,Mwanakijiji,Jasusi,...

..samahani kwamba hii posting hapa chini ni ndefu kidogo.

..hiki ni kipande cha ripoti AID and REFORM in Tanzania.

..Ripoti hiyo iliandaliwa na wasomi toka Goteborg University na ESRF.

..Ripoti nzima inapatikana kwa kubonyeza hapa

1979-1982: Stalemate

After the collapse of the commodity boom of 1975-1978, the Uganda war (1978-79) and thesecond oil crisis in 1979, the economy was faced with very severe economic problems. As aresponse to this, Tanzania agreed to a stand-by credit with the IMF in 1979, but since it failed toobserve the agreed budget ceiling the agreement was cancelled. During the discussion of therelease of the second tranche the head of the visiting IMF mission was ordered to leave thecountry. The Minister of Finance, Mtei, was perceived by President Nyerere as being to close tothe IMF and was removed. Mtei was succeeded by Jamal, who was less eager to reform the economy. Nyerere made a speech in which he criticised the IMF for trying to set itself up as the International Ministry of Finance and rejected their demands. Tanzania then turned to the WorldBank for assistance, but although the Bank had been supportive throughout the 1970s it now refused to support the Tanzanian government. Then there was little communication for about two years until 1981, when the Bank indicated that it could provide quick-disbursing aid if certainpolicy changes were undertaken and an agreement could be reached with the IMF. The latter demanded at 50-60 per cent devaluation, a significant reduction of the budget deficit, removal or reduction of consumer and producer subsidies, positive real interest rates, and higher agriculturalprices and import liberalisation. Some new measures were proposed in the National Economic Survival Programme (NESP) of 1981, which was essentially part of an application to the IMF.

The goals stated in the plan were to increase export revenue and to eliminate food shortagesthrough various supply side measures and to reduce public expenditures. This was to be achievedby tighter state control of public expenditures and increased production. The plan was whollyunrealistic, and the IMF found it to be completely lacking. Tanzania anti-reform elements arguedthat the problems causing the crisis were external and not internal policy weaknesses. The government's position was that Tanzania was a structurally weak economy and that the remediesproposed, including the dismantling of the socialist structures and major cuts in social spendingon education, health and water, would not help revive the economy. The government was notready to accept to carry out significant reforms. This partly explains why NESP I (1981) and NESP II (1982) were more of exhortations than policy change documents.

Moreover, at this time there were very few senior officers in central ministries capable as a groupto undertake independent macro-economic and sectoral analysis to generate new ideas and develop new programmes to address the crisis. Local intellectual capacity was not sufficientlyavailable to engage in a meaningful debate with the IFIs and even to counter-balance the ruling party's inclinations towards maintaining the status quo. There was excessive reliance on ahandful of expatriate advisors, most of who preferred to toe the party line. Sometimes, theseadvisors held divergent policy perspectives and it was a task to maintain harmony among them.

The academia at the University of Dar es Salaam had generally been weakened – either by thesocialist ideology or by opportunists within the institution who were eager to please the partyleadership. To identify with the party could open up opportunities for accelerated promotions orfor transfer to more remunerative positions in parastatal organisations or political structures.Because of a severe shortage of qualified people, such transfers were very frequent at the timeand contributed to the lack of consolidation of intellectual policy groups within the Governmentor around it.

1982-1985: Hard internal debate

The country was now in a desperate situation with the exchange rate greatly overvalued andexports at very low levels. The bilaterals and the World Bank were trying to find some middleground and sponsored a Technical Advisory Group (TAG) with well-known economists, whowere asked to come up with some compromise package. It proposed a more moderate devaluation, but the government did not accept even this. The government used the report toproduce its own reform package, which was a dilution of the policy changes, which wereproposed in the TAG report. This revision was done by the Planning Ministry, then underMinister Malima who was basically anti-reform (1980-1992), although he later became morepro-reform (1992-94). The government turned to the Nordic bilaterals to fill the gap left by the IFIs, but by now also those were becoming increasingly critical and did not provide the extrafunds. There was thus a steep decline in aid flows between 1982 and 1985, which was period ofextreme economic crisis.

Still, a sign of some movement on the government side was the appointment in 1982 of the then PM Msuya as Minister of Finance: He was more aware of the need to mend fences with the IFIs. Together with Rutihinda, who was the PS in the Ministry of Finance at the time, he tried within the government to push for reforms. There were similar attempts at the Bank of Tanzania. Still,the supporters of reform in the Ministry of Finance had to work hard to build up support for it within the government. There was at that time a large dominance of hard-line left-wingers in the Cabinet opposed to the reforms, with the Minister of Finance Msuya as one of the few advocatesof reform. The Minister of Planning Malima was a leading opponent of the reformers, and he quickly brought in Ajit Singh from Cambridge to write a counter-proposal to the reform plan.There was a head-on collision between Msuya and Malima, where the latter even wrote a memo to the President accusing the reformers of being "traitors". The parastatal establishment was also a major stumbling block in the process, although some could see that devaluation would make itpossible for them to improve their results.

It took time for the government to realise that parastatals were a problem. First, there wereattempts to peg the desired exchange rate at a level, which was sufficient to clear losses ofparastatals. This point was favoured very much in 1983 and 1984. Second, the extreme opposerof the reforms, Malima, submitted a paper to the ruling party suggesting that the problem ofparastatals was rooted in the existence of the private sector. The private sector would have to bephased out in order to give room for parastatals to recover! Presumably he had in mind that private sector was doing harm to the parastatals through the deals they had with them (e.g.supplying them with overpriced goods and services).

Public opposition to the policies of the early 1980s was limited, and people rather chose to withdraw into subsistence or to find other ways to deal with shortages and regulations. Parallel markets emerged, as did illegal cross-border trade. The rapid expansion of the underground economy as well as capital flight undermined the tax base. Semi-public discussions was started at the behest of the reformers within government, and an informal network of economists from the University of Dar es Salaam as well as private consultants plus personnel from key ministriessuch as agriculture, transport, industry and trade and the Planning Commission was set up toprovide a forum for debate and to increase the understanding of the politicians and the policymakers.

The strong political leadership made it possible to push through major decisions (or to rejectothers) without proper analysis and debate. Nevertheless, there were individuals of courage –notably Edwin Mtei or Cleopa Msuya – who could put forward reform ideas to the partyhierarchy and the Cabinet. Naturally, such people faced major resistance from the party and, assuch processes go, vacillating positions developed within the Cabinet depending on who couldget the President's ear. But the increasingly precarious social situation arising from severeshortages of consumer goods, especially in large cities, forced the leadership to search for solutions and, ultimately, to consider seriously the implementation of more comprehensive reform packages.

Up until 1983 the government essentially preserved existing policies. Instead of introducing measures to deal with the dis-equilibria, the government pursued campaigns against corruption and profiteers. Stewart, Klugman and Neyapti (1999, p. 82) argue that a side-effect of the political stability that characterised Tanzania was that it postponed pressures for economic reforms that were essential for economic development. Adam et al (1994) argue that the backing from a range of bilateral donors also made it possible to delay adjustment.

A second home-grown Structural Adjustment Programme (SAP) was anyway launched in 1983.This was more ambitious than the previous one, but it did not change any of the majorparameters of policy. Here one tried to identify a series of structural problems in the economyand then adjust the type of state-intervention for the economy to do better. It was not a matter ofliberalisation and deregulation. The main aim was to increase agricultural production andexports, and among the measures was a modest devaluation. It did have some positive effect on exports and agriculture, but was far from closing the gap between the official and the parallelrates. There was a further tightening of fiscal and monetary policies. Still, the measures were insufficient to reverse the trend. The situation remained grave, and there was increasing public criticism of the shortages. The increasingly tough security measures against smugglers and profiteers only increased the goods shortages, and it was mainly the smaller culprits that were sentenced in the end. Campaigns against corruption and profiteers were directed at attacking stockpiling of goods and improving distribution of goods. It was believed that the problem of shortages was caused by hoarding or unfair distribution of goods. When the shortage of goods became worse even with the campaigns, then the champions of this campaign began to realise that the problem of shortage of goods was more deep-rooted. This realisation influenced the decision to permit partial import liberalisation in 1984. In fact Mr. Sokoine, then Prime Minister,led the campaign against profiteers and later he also led the initiative towards partial liberalisation starting with transport (imports of pick-ups were allowed and supply improved)and these positive results were used to argue for further import liberalisation.

The failure of SAP was also aggravated by the two other factors. First, the receding aid inflows worsened the already low levels of capacity utilisation and therefore worsened the shortage ofgoods. Second, the allocation of whatever foreign exchange was available through CIS favoured projects, which had earlier been funded by the respective donors rather than follow efficiency criteria. The few resources available were spread too thinly to be effective.

In 1984 economists from the University of Dar es Salaam started to hold public meetings, wherethey advocated liberalisation measures. The initial discussions targeted policy makers andpoliticians and some private sector leaders. These meetings were, of course, against the officialparty line, but were supported by the reformers within the government, for example in theMinistry of Finance and the Bank of Tanzania. So in 1984, in the face of extreme goodsshortages, the government finally made a more substantial move. It chose to allow own fundedimports, it devalued the currency and it increased agricultural prices by about 30%. There was anexport retention scheme, and user charges were introduced in health. This was the first step onthe road to the restoration of relations with the IFIs. There was now some improvement in theeconomy and imports could increase somewhat. The government tried to mend relations with theIMF, which felt that the new reform programme was a least a basis for further discussion. Talks were reopened between the Government and the IMF at the end of the Nyerere era.
 
Kwani ni lazima tuongozwe na ideology? Hivi ni nchi zote duniani zinaongozwa na ideology?

Hakuna nchi yoyote duniani inayoongozwa bila 'ideology'. Hata nchi ambazo hazipendi kutumia neno 'ideology' na zenyewe ukizichunguza utakuta zina 'ideology' fulani. Neno hili 'ideology' limeshuka thamani yake baada ya mwisho wa vita baridi. Ila Taifa likishasema lina dira, dhamira, sera, mpango au mkakati basi ujue hapo linaongelea mwelekeo unaotokana na mawazo au dhana fulani. Huo mwelekeo wa kimawazo ndio 'ideology' yenyewe. Kama huamini soma tafsiri hii ya 'ideology' kutoka kwenye kamusi ya Chambers:

1. The body of ideas and beliefs which form the basis for a social, economic or political system
2. The opinions, beliefs and way of thinking characteristic of a particular person, group of people or nation
3. Abstract or visionary speculation

Hapo utaona MKUKUTA inatokana na mawazo na imani kuwa ukikuza uchumi, ukapunguza mfumuko wa bei na kubana matumizi ya sekta ya umma huku ukiiachia sekta binafsi na soko viwe huria basi utapunguza umaskini - hii ni 'ideology' ya uliberali mamboleo. Pia utaona kuwa Azimio la Arusha ilikuwa ni dira na dhahania ya kuleta imani na matumaini ya kujiletea maendeleo kwa 'kujitegemea kwa kushirikiana' ('collective self-relieance') - hii ndio 'ideology' ya Ujamaa.
 
Hivi leo hii tukiulizwa ni ideology (itikadi) gani inaliongoza Taifa letu tunaweza kusema kwa uhakika ni ipi na kwanini?

Tunaongozwa na 'itikadi ya kufungamana na itikadi zote' kama huamini subiri Muungwana atoke huko kwa kina Lula na Chavez uone jinsi tutakavyoendelea kuchanganya madesa haya:

1. Vision 2025
2. Minitiger 2020
3. Mkukuta 2005+
 
Zakumi,

Is is Nyerere's fault kuwa tuna watu waliosoma lakini hawajaelimika na hawana maarifa?

Azimio la Arusha katika kuongelea kuondokana na ujinga na umasikini, linaongelea umuhimu wa kuwa na juhudi katika kazi na maarifa ili kujenga jamii yenye kujitegemea.

Je Watanzania wamefanya jitihada gani pamoja na "Usomi" wao kuongeza maarifa, ubunifu, ufanisi na juhudi katika kazi?

Ninachokiona ambacho si kosa la Nyerere wala Ujamaa au Azimio la Arusha ni tabia binafsi.

Watanzania (hata Waafrika kwa ujumla) ni wavivu! Sisi ni watu wavivu ambao bado hatujaamka kugundua kuwa hatuko zama za mawe kwenda kuwinda nguchiro na kukusanya kipande kimoja cha mzizi na kujipatia mlo wa siku.

Uvivu wetu ni wa kufanya kazi kwa bidii na kwa ziada, uvivu wa kufikiria, uvivu wa kila namna ambao unatufanya tuwe hapa tulipo, masikini tuliolimbikwa na utajiri mwingi lakini hatutaki kufany akazi yeyote, tunasubiri mwingine aje afanye hiyo kazi au atupe kamsaada nasi tuendelee na "Mwendo mdundo" kama Jasusi anavyosema na kutanua kama Kikwete!

Tuna wachumi kibao, je wamefanya nini cha upembuzi kuunda mfumo wa kiuchumi utakaowiana na mazingira na jamii zetu zaidi ya kurudia principles za Adam Smith au professa wao wa Shule?

Tuna Wahandisi wengi tuu, je wamefanya nini baada ya kuhitimu na "kuelimika" kuoanisha walichojifunza na kukigeuza kwa ubunifu wa kutengeneza vitendea kazi au kubadilisha mfumo wetu wa kujenga uchumi kwa kutumia Sayansi?

Je mabwana Shamba, mifugo na uvuvi wamemsaidia vipi Mtanzania kuachana na kilimo cha kuhemea cha kula leo kesho Mungu atajua?

Tuna wahasibu, watu wa masoko na kadhalika, je wamefanya nini kutumia kisomo chao kumfundisha Mtanzania jisni gani ya kupanga mahesabu hata kujipatia faida?

Listi ni ndefu, lakini hatuwezi kusema kushindwa kwa watu hawa kunatokana na mtu mmoja, Nyerere na Ujamaa wake au Azimio la Arusha.

Ukisoma Azimio, linazungumzia umuhimu wa kuachana na imani na tabia za kijima, za zama za mawe. Lakini sitawalaumu Watanzania tuu, je yaliyosemwa kwenye Azimio la Arusha na hata Siasa ya Ujamaa na kujitegemea yalikuwa ni ya upeo wa hali ya juu kwa Mtanzania kulielewa?

Hata mimi nikisoma shule na kunyweshwa Juisi ya Azimio sikulielewa, nililichukia na kuliona ndio chimbuko la umasini. Lakini nilipoanza kuingia utu uzima na kupanua wigo wa mawazo, ndipo nilipokuja baini kuwa Azimio halikuwa baya, ni utekelezaji ndio ulikuwa una matatizo na makosa.

Umezungumza vyema kuhusu Knowledge, lakini Watanzania wana "Will" ya kuitumika Knowledge na hivyo kupata Maendeleo ya kisasa?

Tulichobakia nacho Watanzania na Watu Weusi kwa ujumla ni ufinyu wa mawazo na kasumba ya kutaka wote tuwe "Wazungu Weusi". Mtu akimaliza Elimu hata kwa ngazi yoyote, kiburi cha kujiona msomi kinaanza, anataka alipwe makubwa na apewe mafao makubwa, lakini kufanya kazi hiyo kwa bidii na awe mzalishaji mzuri hataki.

"I am a graduate, give me my entitlement" has become a common phrase and song from majority of us who have attended Universities. We want to be paid Mega salaries, with houses, cars and all fringe benefits, but we are yet to translate our education and knowledge into productivity and efficiency!

Wanasemaga Wanugu, "Pimp my Ride", sisi tunasema Pimp our Lives, tunashindwa kuwa wachapa kazi na wabunifu ili tuwe na maendeleo na kuongeza ubora wa Maisha ya Mtanzania, tunataka dezo na haraka haraka ya kupata maisha.

Kama ni hivyo, si tujiunge na wale wenzetu ambao siku zote huona bora nichomeke shina moja la muhogo na mbaazi alimradi leo nimepata chakula na kesho ni ya Mungu?

Pondamali kufa kwaja, ndio tulichobakia tukikifanya Watanzania na si Azimio, Ujamaa au Nyerere waliotufikisha hapa!

Posti yako nzuri lakini sina muda wa kutosha kuijibu kwa kirefu. Kabla ya kujibu kuwa je ni fault ya Nyerere au Azimio la Arusha kwanza inabidi tuweke mambo fulani sawa.

Mabepari hawaangalii hawa-equity elimu na maendeleo. Wana-equity capital na maendeleo. Mnatumia pesa nyingi kumsomesha mtu na akimaliza shule mnategemea alete maendeleo. Hayo ni makosa makubwa.

Innovation inaongozwa na mahitaji na competition. Na imekuwepo sera zenye kudidimiza mahitaji na competition, basi innovation isitegemewe kuendelea kuwepo.

Uvumbuzi mkubwa wa kumsaidia binadamu ulitokea kabla ya knowledge kuwa-systemized kwenye mashule na uliongozwa na mahitaji ya jamii.

Na uvumbuzi huo haukutokea kwenye jamii zenye watu mia mbili tu. Ulitokea kwenye sehemu zenye population kubwa.

Unaposema watanzania ni wavivu naona unatutukana. Miaka 100 iliyopita bado tulikuwa tunaishi kwenye koo zetu zenye idadi ya chini ya watu 150. Katika koo hizi uwezi kupata professional technician, professional prostitute, professional doctor. Watu wote watafanya kazi za kujikimu tu.

Nyerere alichofanya ni kulazimisha hawa watu wawe pamoja hili waige maendeleo ya nchi za watu. Unaweza kulazimisha watu lakini huwezi kubadili mind-set zao kama kunakuwa hakuna mahitaji.
 
Back
Top Bottom