Jamani Tusker Baridi! RIP Chetuntu, ni kweli Christina shusho ni mkongo na kama ukifuatilia mahojiano mengi ambayo Christina amefanya na vyombo mbali mbali vya habari huwa haongelei origin yake kabisa
I hate umbea, je, una uhakika na unachokisema.? Kama uzuri anao mtazame live. Lkn sii vizur kusema mtu usiekuwa na uhakika na unachokisema just kumchafua mtu ili nin.?
Wewe mleta mada unamfahamu au ulimwona tuu jukwaani basi Mitamaa yako unaona Chuma.Hahaha tafuta file lake pia yule mwanadamu pia.
I don't judge her ......