Who is Christina Shusho historically?

Who is Christina Shusho historically?

I hate umbea, je, una uhakika na unachokisema.? Kama uzuri anao mtazame live. Lkn sii vizur kusema mtu usiekuwa na uhakika na unachokisema just kumchafua mtu ili nin.?
 
Anatoka jimbo la kafulila lenye wakongomani wengi

Kwa vile ni mcongolese anajua anachokuchuchumilia, ingekuwa mbongo angeshalewa misifa akajichanganya kama akina Betrice Muhone na wengineo.
 
Ukisikiliza nyimbo zake unapata hisia za kuuona ufalme wa mbinguni! She is talented!
 
Ni moja ya wanawake watulivu sana, ni mzuri sana. Sijawahi kabisa kumsikia kwenye scandal yoyote.
 
Pole unatuleta shusho wa ibadani ama shuso wa uraiani
 
Wewe mleta mada unamfahamu au ulimwona tuu jukwaani basi Mitamaa yako unaona Chuma.Hahaha tafuta file lake pia yule mwanadamu pia.
I don't judge her ......
 
mi mkubali Beatrice aliimba ingoje ahadi ya mungu.

lakini christina na mwenzake mbasha hakuna kitu walikua zamani

bora hata ungesema upendo nkone.
 
CHRISTINE SHUSHO.jpg
 
Back
Top Bottom