Who is Cyprian, Is Nyakundi??

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Huyu jamaa ni blogger lakini amekuwa akisumbuliwa sana na Government of Kenya. Japokuwa Kenya kuna bloggers wengi ila yeye amekuwa akishikwa. Swali nije why him??

Kama kawaida yangu nilizama kwenye social media zake zote lakini nilikuja kumgundua kupitia Telegram kuwa jamaa nijasusi. Huyu kwanza anaakili sana, very bright. Nilichoshindwa ni nchi au watu anaowafanyia hiyo kazi. Kama ni Mossad, MI2 au CIA and many more nilishindwa kuelewa in details though i could catch something.

Kwenye ujasusi kunakitu kinaitwa CODES ( cipher ) . Huyu jamaa huandika taarifa zake kwa kutumia codes.
Niliweza ku regenerate codes zake kama mara 7 nakufanikiwa, zaidi ya hapo huwa na shindwa nakupatia chache kujua anachoelezea. Mkitaka kujua kuwa nacho ongelea kina ukweli baadhi ya habari zake anaweza tumia erufi kama WJDGTP kama codes.
Pia usalama wa taifa wa nchi nyingi duniani hutumia magazeti na majarida kusambaza taarifa kwa watu wao nje na ndani ya nchi kwa kutumia codes

Pia social media kama JF hutumika pia japo magazeti ndo sana
Percent kubwa ya wahandishi wa habari ni system. They work for the so called company. Nahivyo ndo utambuana


Cyprian mjanja kwa sababu anatumia codes za nchi tofauti tofauti inakuwa ngumu sana kuzivunja.

Watu kama hawa serïkali inapo wagundua huwa sumbua nakuwa chochea ili waweze kumwaga codes zaidi.
Pia familia zao ushikwa ilikusaidia uchunguzu. Wanapo fail kabisa ni wanamuuliza then death as a last solution.

Mtu kama Cyprian serikali kumuondoa ningumu sana kwa sasa cause he has the key of the black box. Unless they first get it.

Then who is Cyprian working for and for what??

Episode 2 coming soon. He will be dead or alive.
 
Tatizo mnapenda kutazama movie nyingi za kijasusi za Hollywood hadi mnaona kila kitu kinakaa movie movie, maisha sio movie, life is real, it's happening and right in front of you, you are stuck with your life 24/7/365 while movies lasts an hour or two.

Huyu unayemsifia kimovie movie ni blogger anayependa kuchokonoa na kugusa maeneo nyeti, juzi kaandika kwamba waziri anayo uhusiano na msichana wa kanisa, hivyo akaishia kuswekwa ndani.
 
Ila ni Blooger ambaye anayoandika sehemu kubwa huwa ni kweli sometimes vyombo vya utangazaji duniani kama CNN huwa zinamtumia kupata habari za ndani. Mtoa mada yupo sahihi asilimia 100 huyu jamaa anakuwa funded na mashirika makubwa ya ujasusi.
 
This Man Cyprian Nyakundi - The Outspoken Blogger Who Isn't Afraid to Speak His Mind
 
Do you know the best information is kept and found in prison.?? Some people do things to be imprisoned to do there job. Watu kama hawa sio wakupeleka tu prison hovyo. I dont want to talk that much. All i have said join his telegram account find a code i will regenerate it for you. The other bloggers wanaopinga serikali niwengi hawakamatwi then why him??. Kuna kipindi cha Kampeni alishikwa but social media zake huku Telegram ziliendelea kumwaga habari. Was he with a phone in the prison?? He has people behind him working as agent with in agent.
 
mulisaaa vipi umesahau kuuliza pia...na kwanini wakikuyu walimroga? Tehe tehe tehe 😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…