The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Aug 29, 2011 #1 mnaofuatlia bongo fleva.. nauliza huyu msanii aneitwa godzilla ametokea wapi? ana umri gani????? kiusanii labda yuko kama nani au zaidi ya kina nani? ana nyimbo ngapi?zipi na zipi?
mnaofuatlia bongo fleva.. nauliza huyu msanii aneitwa godzilla ametokea wapi? ana umri gani????? kiusanii labda yuko kama nani au zaidi ya kina nani? ana nyimbo ngapi?zipi na zipi?
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Aug 29, 2011 #2 Piga simu clouds watakuambia kila kitu.....maana wao ndio waliomvumbua kwenye freestyle ......mwaka juzi kama sikosei
Piga simu clouds watakuambia kila kitu.....maana wao ndio waliomvumbua kwenye freestyle ......mwaka juzi kama sikosei
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Aug 29, 2011 #3 katokea salasala na anasoma diploma CBE ni hayo tu...
menyidyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 1,339 Reaction score 194 Aug 29, 2011 #4 ni katuni ya dinasoz anayeokoa dunia.