who is godzilla??????????

who is godzilla??????????

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
mnaofuatlia bongo fleva..

nauliza huyu msanii aneitwa godzilla ametokea wapi?
ana umri gani?????

kiusanii labda yuko kama nani au zaidi ya kina nani?

ana nyimbo ngapi?zipi na zipi?
 
Piga simu clouds watakuambia kila kitu.....maana wao ndio waliomvumbua kwenye freestyle ......mwaka juzi kama sikosei
 
katokea salasala na anasoma diploma CBE ni hayo tu...
 
Back
Top Bottom