Jituoriginal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 349
- 32
Hivi na huyo unamuweka kati ya watu? mimi kwangu alikuwa kama d*g wa polisi tu. Huwezi kufikiri mtu mzima na cheo chake kama angelikuwa anafanya mambo ya kijinga vile. Kazi kubwa ilikuwa kushirikiana na majambazi tu.The little i know about Mwema ni kwamba ana shahada ya kwanza ya sheria (LLB) kutoa UDSM.,alipata kuwa RPC-Mbeya, then akaenda INTERPOL-Nairobi, mpaka anachukua U-IGP.,but if we compare him with the other guy from Morogoro at least he has some added value in his tenure of service
Huyu naye sijui kakurupuka kutoka pango gani. Hakuna sehemu hiyo post uliyonukuu imetaja mahusiano ya kazi na kupendelewa. Acha hijabu nyumbani wakati mwingine ili uone vema
......... Ameleta sera ya kuajiri vijana waliomaliza std 7 pamoja na form 4 waliofeli, kwani kwa mtazamo wake wasomi wanakimbia Jeshi, anatakiwa Mwema afanye utafiti wa Kina sababu ni zipi? zinafanya vijana wasomi..waache kazi .je ni maslahi madogo? hawathaminiwi ?.
INTERPOL media release
02 March 2006 INTERPOL regional bureau head assumes top post at Tanzanian police
LYON, France The head of the INTERPOL Sub-Regional Bureau in Nairobi, Saidi A. Mwema, has been appointed to lead the Tanzania Police Force. ..............
............. As head of the INTERPOL Sub-Regional Bureau (SRB) in Nairobi, Mr Mwema provided support and direction for all INTERPOL activities in the region and oversaw the implementation of initiatives to address specific crimes in eastern Africa, including During his tenure, Mr Mwema oversaw the relocation of SRB Nairobi to an improved site, facilitated the signing of various regional agreements and enhanced co-operation with international bodies.
huyu jamaa ni mchapakazi sana maana sasa ana mchakato wa kukiboresha kitengo cha Forensic science katika jeshi la polisi.
Tanzania nasi tutajidai kwa kupitia uongozi wake.
huyu jamaa ni mchapakazi sana maana sasa ana mchakato wa kukiboresha kitengo cha Forensic science katika jeshi la polisi.
Tanzania nasi tutajidai kwa kupitia uongozi wake.