Who is IGP Mwema? CV Please!

Who is IGP Mwema? CV Please!

kwani hiyo nafasi ina umuhim wa kua na elim na uelewa zaidi wakuu?
Mbona X- I G P ndio hao hao...
Labda wa sasa.
 
Ana cert ya sheria tosha! Dip ya computer ni added advantage.
 
Moja kati ya hizo ni mwanasiasa aliyebobea hapa nchini
 
kwani hiyo nafasi ina umuhim wa kua na elim na uelewa zaidi wakuu?
Mbona X- I G P ndio hao hao...
Labda wa sasa.

CV ya kiongozi inasaidia sana ili kuweza kuwafahamu vizuri viongozi wetu na kuwatafakali kabla ya kuwalaum sana
 
kwani hiyo nafasi ina umuhim wa kua na elim na uelewa zaidi wakuu?
Mbona X- I G P ndio hao hao...
Labda wa sasa.

Kwa jinsi kiwango cha uelewa na utandawazi kilivyo kwa wa TZ, hii nafasi inahitaji mtu mwenye CV iliyosimama!
 
Ana degree ya intelijensia

na form for div 4 point 28 ndiyo maana bado anasisitiza askari wawe na qualification hiyo, maana bado anaiona ni qualification ya juu.
 
Mwenye CV ya aliekuwa mgombea mwenza wa Slaa jamani atuletee ilu tulinganishe na ya mwema...

My take:

Kuwa na hekima sio kuwa na elimu kama hivyo basi mababu zetu wasingekuwa na hekima. Na Mwema ni msikivu hapo awali alisifiwa sana hapa JF ila kwa yaliyotekea Arusha nasisitiza hakuna wa kuyafurahia ila yana ushawishi wa kisiasa zaidi. Katiba ndio suluhisho ya yote haya IGP hawezi kwenda kinyume na matakwa ya aliemteua! Au hii pia mnataka kuwa na degree kuijua?
 
Ukiwa na hekima pia unaweza ukatumia hekima zako kumshauri hata boss wako kwa kumonyesha madhara ya analotaka kutenda faida na hasara. Sasa kama wewe ni yes tu na hata unamtia kitanzi boss wako mh ! kidogo hapa hekima inakosekana na ndio tunaanza kuangalia upande wa pili hekima ya kusomea vipi nayo?
 
Back
Top Bottom