kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
Mwema nadhani kaleta mabadiliko makumbwa ktk jeshi la police ukilinganisha na tunakotoka, Evidence ya hivi karibuni ktk uchaguzi, Polisi hawakutumia mabavu kama tulivyo zowea huko nyuma
Hongera S Mwema keep it up !!!!!!
Ni Mtu safi kabisa.Mwaminifu na mchapa kazi.
- ana degree
- hana makuu, anasikiliza
Precisely!!Kwenye CV yake kaongezea sifa hii: Kupanga,kutekeleza na kusimamia uuaji wa raia wasio na hatia jijini Arusha January 5,2011
Usafi ni kunywa damu ya watu Arusha au mimi ndiyo sielewi maana ya usafi
Yaani ana wake wawili?
Liko wazi usuikatae, jaribu kuwafuatilia wahasibu waliokuwepo kabla, na waliopo sasa, utajua na utajiridhisha mwenyewe.
sasa la ajabu nini?naye ni muisilamu wanaruhusiwa mpaka wanne
Form Six, Diploma ya IT, Cert ya Sheria, Kumbuka hii Form Six alijiendeleza alipokuwa CID Magomeni
hana CV yuko pale kwa uislamu wake
Basi hiyo ndio CV yake!... yuko pale kwa uislamu wake
Basi hiyo ndio CV yake!