Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
HAHHAAAAAAAAA! ILA MPAPA UMEPATA PUBLICITY JAMANI! Mange wala hakutaka kumkomoa ALITAKA TU AMNYAMAZISHE KIDOMO DOMO HUONI SAIVI KUFYATAA KIMYAAAAA, KASHIKA ADABU ZIMEMSHIKA.? Angetaka kumkomoa angeuanika, ila anajua akiuanika utazoeleka ndo anautumia huo mpapa kama shield dhidi ya kidomo domo cha chagga! Na hata Sinta mpapa wake nae umewekwa bondi hadhubutuuu kufurukuta maana alidai mpapa unanyolewa na topaz una minundu bora aende waxing! Hahaaaaa! Wot wako BOND hamna anaefurukuta. Ndo ujue hana nia ya kuwakomoa bali hataki wamuingilie kwenye mambo yake kinyume na maumbile. Hahaaaaa!
 

kuweka familia yake haina shida lakini ukishakuwa mama inabidi ujifunze kuwaprotect hao watoto kwa njia zote. siku zote binadam huwa wanapenda kukuumiza pale panapo hurt ze most. unadhani ni wapi if not ur children. the way anavyowasakama watoto wa wenzie nahofia wasije tumia watoto wake pia( mungu aepushe hilo)
 

Hana lolote yule mumewe kule ---- tu hawana maisha ndo maana alivyotoka kuzaa hata week haijapita akaanza kuuza mitumba yake ile jamani hata kupumzika maisha magumu kweli llooh...!
Mie na kiajira changu japo hakina maana nimepewa siku 84 za kurest
Da mange mpenzii njoo bongo na MBA yako hukosi ajira au hata dili za kupiga badk tunawahtji watu km nyinyi....
Mwenda kwao si mtoro mama....!
Huku unaweza endelea ht na ile kazi ya kutafta mamiss au kua judge na kina mjomba hasheem!
 
Last edited by a moderator:
Naona umbea umeadvance sana....umehama kutoka uswahilini wanakochambana hata kwa harufu ya misosi wanayopika sasa makao makuu ya umbea ni mitandaoni......tulifikiri ukimuelimisha mwanamke akawa busy ofisini hatapata muda wa umbea kumbe sasa ni vidole na keyboard.......sasa tunakokwenda bora umbea wa wamama wa uswahilini kuliko haya ya mitandaoni.......
 

USIYOYAJUA YATAKUSUMBUA SANAAAA! Mwammy, kisa, mange wana mambo yao personal waliyotifuana katika ushostingo wa town.

SHIGONGO YEYE KAANIKA WATU WANGAPI.? Kuanikwa yeye aaa ndo vimemuuma? Mbona had humu jf shigongo anaanikwa daily? Kunya anye kuku akinya bata kaharisha? Hahahaaaaa!

Limu yak inamsaidi kufanya biashara wanae wanaenda masalani mkimchokonoa anawapa makavu live kma kawaida.
 

HOD unamchukia sana Mangenita na mambo yake sas kwann hua unaenda kule kwa blog yake kusoma anavyoandika?si utulie uangaliage hata blogs za mapishi?
Am not anyone's fan lakini hii ya haumpend mtu af bado unamfuatilia inanishangaza sana kwann usifanye yako acha kufuatilia habar zake kama zinakuudhi?kwanini kumfuatilia na kunifanya wew ndo perfect kwa kutos ushauri na kila kitu?
 

Hana hata ya mmoko yule angekua nazo ashaweka mi nakwambia anavyopenda sifa za km kitunguu saum..
Sintah kampuuza anafanya yake asa hv na yanamwendea...
Mi nahofia watoto wake watakavyokuja kufanywa baadae atajuta kujiona ye ndo bab kubwa...!
Maana si unaona asa hv watu wanatumia mambo ya mzee wake kumu attack yeye..!japo mi sipendi but the same story itarudi kwa wanawe aijongeze hata kidogo.n..
YE ni mama yule jamani wenzie kunyamaza wanafanya kwa ajili ya watoto wao!
 
THE ISSUE SIO UMAARUFU WAKO ISSUE UNA AUDECITY GANI YA KUMDISS MWENZIO REGARDLES. KAMA MAARUFU AU SIO.? Kama ndio hivo maarufu wana diss tu basi Mange angedisiwa na Wema, Uwoya, Dina na maarufu wengine!
HII ISHU HAINA UMAARUFU WEWE UMEDISS KAMA INDIVIDUAL WEWE DINA SASA UKUBALI KUCHAMBWA INDIVIDUALY SIO KUKIMBILIA HUJUALIKANI. UNGEJUA HUJULIKANI USINGEJIHUSISHA NA YASIYO KUHUSU. Au unataka wewe tuuu ndo umseme mwenzio ila wewe usisemwe coz sio maarufu! HAHAAAAA! BE JUST IN YOUR CAUSE!
Mimi POINT YANGU KUBWA WENGI WENU VINUKA MKOJO TU ( PERDON MY LACK OF SENSE OF HUMOR AND COMMUNICATION SKILLS I HAD TO CALL A SPADE A SPADE BUT I APPOLOGISE IN ADVANCE NO OFFENCE INTENDED) HAMNA AUDECITY WALA CREDENTIALS ZA KUMDISS MANGE HANA KITU, SIJUI MASKINI, HAMNA QUALIFICATION HIZO, MNAFOSI TU KINGI, ILI MTANANGE MPAMBANISHWE NAE MMOJA MMOJA MNAODISS LAZIMA MUINGIE MITINI, KAMA SOUZA KUWEKWA HW0EWANI KAKOMAJEEE! Ndo mjifunze kuacha kudiss watu nyuma ya keyboard ilihali yenu yanawashinda.
 

hehehe weee bwana ulikutana nae wapi vip sura yako inavutia
 
Last edited by a moderator:

mange na sinta wote nawakubali... ila alivyomnya
mba sinta sijapenda hio mipele sijui minundu haiko poa. ye angebaki kuwajibu kwa fact inatosha.
 

kwanza mimi sio HOD naona umekuja kwa kasi kama ya chama tawala ukaishia kuchanganya mambo.......

sharti la umbea uwe waujua hapa nisingeweza kuongea ninayoongea ka ningekuwa sielewi kinachoendelea, niko insta.. kote huko huu umbea unakuja automaticale.... na blog nilienda kushuhudia anayowafanyia watoto wa wanawake wenzie......,
 
By the way mtu anaestahili kuitwa yatima ni mtoto chini ya miaka 18 ambaye hawezi kujitegemea kwa akili yake mwenyewe huwezi ukawa mtu mzima una familia yako halafu ukajiita yatima hivyo ni vituko
I pray for you so that GODS OVER LOOKS THIS COMMENT AKUJALIE UZEEKE UONE WAJUKUU ZAKO NA WATOTO WA WAJUKUU ZAKO! Hujui ulinenalo! Awaepushie wanao KIKOMBE CHA MANGE HATA WAKIWA NA MIKA 40 NA ZAIDI.
 
MAMA MZAZI NDO ANAJUA WHAT IS BEST FOR HER KIDS! Bora uconcentrate kuwaprotect wanao! Watoto wake hawakuhusu! Kila mama watoto wake msiingiliane!
 

Hamna aliyeanika maisha yake hapa hata mmoja..
Ye si anataka umaarfu acha watu wamjadili tena sie hohehahe ndo tunampa umaarufu
Hao celebrities hawana time nae wanaogopa atawalipua labda
So avumilie tu makavu!
Umaarfu zigo la miiba!
 

nimekupenda bure .... yaani ukishakuwa mama u have to learn how to watch ur steps. ye anasema amemwaga mboga sawa sasa her enemies watakuja kumwagia pilipili juu visizoleke. ki ukweli huwa naumia navyomuona anavyovuka mipaka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…