Nna maswali kwako
lara 1
1:Tuwekee na utajiri alionao Mange??
Maana umesema wanamuonea wivu
2: baba yake alifariki kisa nini na alifanywa nini mpaka akajiuaa??
3:nguo za mchina sio za mchina??
4: email iliyosambaa na ni ya zamani akielezea ufuska wake hadi wa kuliwa tigo unauzungumziaje??
5: kama alikua wa kibopa/kishua mawindoni kwenye mahotel kutafuta mabwana ilikuaje ?? Ndio akambahatisha huyo Lance
6; huyo mmewe mbona ana hama hama hana makazi maalumu au kazi maalumu? ??
7:anawasema wenzie wabaya wana sura mbaya,kati ya wanawake wazuri Mange yumo?????
Ni hayo tu! !!!!!!