Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Kuna haja kikaanzishwa kipindi redioni au runingani cha mijadala ya kimbea kama mjadala huu...hizi team nani sijui team nani wengi ni waoga na washobakaji ambao ujanja wao ni katika keyboard ila ana kwa ana ni mandezi ambao mitandaoni unakuta anamkandia mtu flani ila ana kwa ana full shobo na wengine mpaka picha wanaomba kupiga na hao wanaowakandia mitandaoni
Hahaha typing errror mama nawe unajua hili...nije kwa kasi kwani nalipwa na huyo mange au na nan?nashangaa tu mtu haumpend mtu af bado unamfuatilia eti umbea kwan hua mnalipwa?yani kuamkia kwenye IG na Blogs kujua umbea gan unaendelea as if mnalipwa au hamna vya kufanya kumbe wenyew mnamengi tuu yanayohitaji msaada kutwa ya wenzenu...mange muacheni na kichaa chake acheni kupanik paniki ovyo humu,kutwa kwenye mablog sijui shughuli zngine mnafanya sa ngap...yule mzungu unamyafuta umpate tuu maana kwa maadili ya kibongo nan atakubal kila kitu afanye dada mke kila siku anasaka umbea kwenye mitandaoo...pyee mtuliegekwanza mimi sio HOD naona umekuja kwa kasi kama ya chama tawala ukaishia kuchanganya mambo.......
sharti la umbea uwe waujua hapa nisingeweza kuongea ninayoongea ka ningekuwa sielewi kinachoendelea, niko insta.. kote huko huu umbea unakuja automaticale.... na blog nilienda kushuhudia anayowafanyia watoto wa wanawake wenzie......,
hana mali analingia masters tu basiiiiiiii elimu ni zaidi ya mali u know ukiwa nayo hufirisiki ingawa mange anafilisika kimawazo
Hahaaaa! SASA NA NYIE MSIOTAKA UMAARUFU WAKE, NA MNAJIONA MNA HADHI YA KUMNYAMBAAA WEKENI CREDENTIALS TUPIME YALIYOMO YAMOOOO.
Sio kujificha nyuma ya keyboard kumnanga mtoto wa mwenzenu wakati nyie binafsi MPO WORSE OFF! Tunataka FAIR PLAY!
Mi cijawahi ona msomi ambaye,yani anatukana tukana ovyo pia ina maana unataka kuniambia,de issue,ambayo iko tok of de twn amesingiziwa pia?? Usiegamie upande wa mazuri yake na mabaya pia usemage cimjui mange saaaana bt kwa hapa cijakubaliana na wewe hawez kurusha matusi makali vile mbna trebella kaibiwa lakin she,ddnt say anything
Hahaaaaaaaaaa! Umasikini kitu kibaya sanaa! HIVI WEWE HIZO NCHI ZOTE ALIZOENDA NAULI TU SH NGAPI.? Angekuwa na roho ya umasikini si angekuwa na mbanda huko kinzudi? HAHAHAAAA! Mentality ya wabongo banaaa! URITHI WAKE ALIOACHIWA NA MZEE WAKE UNAUJUA.? ALIO ZAWADIWA NA MAHAKAMA BAADA YA KUSHINDA KESI UNAUJUA.? Mtu saingine ananyamaza tu coz mambo yako obvious kwa sie tunamjua!
THERE IS MORE TO LIVING KULIKO HIO MIBANDA WABONGO MNAYOIKOMALIA!
Hivi huwa anawashikia bastola ili muende kuyaona maisha yake kwenye blog yake?si nyie wenyewe na vizabina zabina vyenu ndo mnaingia blog ya UTURN?Km hupendi kufatwafatwa FUNGA BLOG. ...otherwise km umeamua kuanika maisha yakobkm nyanya sokoni subiri kuchokonolewa...kuna negative publicity and postive publicity....ukicreate drama ukapata negative publicity learn to deal with it sio kujitoa ufahamu.....
HEHEHEEEEEEEEIYAAAAAAAAAAAA,! Kantangazeeeeeeeeeeeeeeee! HALO YA MGOMBA WA NDIZI KUJICHANA WENYEWEEEEEE!,!, Wapeeee wapeeeeee vipicha tuburudike sie!View attachment 172258
Haya ndo yanayowaumiza,wengine ukiwauliza humu mara ya mwisho kutolewa out na waume au wapenzi wao ilikuwa lini?Jibu hawana.Mange kila lenye heri,lazima wenye vijiba vya roho wakuchukie,ila wanajipunguzia siku za kuishi tu!
MAMA MZAZI NDO ANAJUA WHAT IS BEST FOR HER KIDS! Bora uconcentrate kuwaprotect wanao! Watoto wake hawakuhusu! Kila mama watoto wake msiingiliane!
pumu inatibika kwa dawa za kienyeji mimi ni shuhuda.
HAHAHAAAAAAAAAAAA! Wenye akili ni hao WALIO ENDA KUPIGA PICHA YA MIPAPA YAO NA KUVICHIA VIBUZI?
Kutokuwa na mume kilemaaa? Si status tu? Yeye ndo anagawa waume? Embu usitudharau tusiokuwa na waume! Tutake radhi!
Regardless wana waume hawanaa wale walijitia kumuingiloa mambo yake kinyume na maumbile akawapa makavu live wote wenye waume zao kina bedui na wasio na waume kina staarisha. WPTE PEWA DOZI NENE!
Wangekuwa wanampuuza WASINGANZISHA VITA VYA KUMCHOKONOA! Wameshindwa vita na kugalagazwa chezea MPAPA WAKO KUWEKWA BOND.?
Hahaaaaaaaaaa! Umasikini kitu kibaya sanaa! HIVI WEWE HIZO NCHI ZOTE ALIZOENDA NAULI TU SH NGAPI.? Angekuwa na roho ya umasikini si angekuwa na mbanda huko kinzudi? HAHAHAAAA! Mentality ya wabongo banaaa! URITHI WAKE ALIOACHIWA NA MZEE WAKE UNAUJUA.? ALIO ZAWADIWA NA MAHAKAMA BAADA YA KUSHINDA KESI UNAUJUA.? Mtu saingine ananyamaza tu coz mambo yako obvious kwa sie tunamjua!
THERE IS MORE TO LIVING KULIKO HIO MIBANDA WABONGO MNAYOIKOMALIA!
Hahahaaaa! We hii biashara unayofanya biashara gani? Au ndo kunya unye wewe tukinya sie tumeharisha? Hahahaaaaaaa! Wanishangazaaa!Jamani kwanini msituliege?kutwa kuemana huko mitandaoni hamchoki?wengine mtakua hata mnashindwa kufanya majukumu yenu kisa mitandao ya kijamii kujibizana na watu hata msiowajua na wala hawana effect yoyote katka maisha yenu,yani utafikir hamna matatizo yenu binafsi ya kudeal nayo khaa...wengine mnapanikiiiii humu bila hata sababu,wengine wasomi lakin hata usomi haujawasaidia basi tu nanyi mjulikane mnajua yaendeleayo mjini,achaneni na mateam na kujibishana mitandaoni,wala hamtavumbua lolote kwa hiyo tabia...wengine mpaka mtalala mmevuta midomooo kisa maugomvi ya mitandaoni na watu msiowajua...kha mpunguzege wenge
kweli mambo mengine hayana msingi ye angedili na wateja wake coz alishawaelewesha akaendelea kupiga hela.huyo bibi na bedui wangeonekana wajinga tuHAHAAAAAAAAAA! BASI WASEME SUUUUUUUUUUUUU TUFAIDI MAMBO HASA HUO WA BINTI MWALUBADU ULIOKOMAZWA NA TOPAZ! Huyu mama botox atakua kauboresha boresha sio original african.
THE THING ABOUT INTERNENT HIO MIPAPA IKIWKWA UKIWA SEARCH TU HATA WAJUKUU WATASHUHUDIA ZE MPAPAZ WA ZE BIBS ULIKUWAZ UNATISHAZ, BORA WAWE WAPOLE TU! Hahahaaaaaa! Wasipomchokonoa Mange milele kuanzia awape worning atawastiri wanawake wenzetu. SOME TIMES THE BEST WAY TO WIN IS BY LOOSING! Hadi vitoto vyako vya ukoo vinakuwa vimeuonaz ZE MPAPAZ WA AUNTZ, MAMKUBWAZ, DOOOOOOH,!
Maadui wa kudumu wanamsaidia nini cha maana kwani au basi tu? Mambo mengine hayana hata msingi.
Nauli ya dar to nairobi siijui ndo ntajua ya hizo nnchi mtoto wa mkulima mie naesoma kwa mkopo
tudadavulie basi yote hayo urithi alioachiwa plus mengineyo i want to know who is mange in and out lol
Heaven on Earth vipi mama bando imeisha au
Mbona Linda bedui nae kaolewa ana watoto 4 hamumsemi? Ya ngoswe muachie ngoswe, ya bokhe muachie mama bokhenzo, INANICHOSHA WATU BAKI MNAVOJITIA WAPANA KAMA PAZIA LA CINEMA KUJIFANYA MNA UCHUNGU NA MTOTO WA MWENZENU KULIKO YEYE ALIEINGIA LABOR! Hahhaaaaa! Madogo yana nafuu!Haaa...am sory msioolewa!ila kuna tofauti sana ye akumbuke ana pande mbili za familia sometimes ukijijua ni nani na una roles zipi unapaswa ubaheve urself!
She pretends kua ma mzuri kwa familia je?anahisi anayayoyafanya yanamjenga au yanambomoa
Hv haya mambo bhoke akija kuyasoma miak kadhaa ijayo mama ake atakia na majibu
Sometimes hasa sisi wazazi tufanye vitu ili kulinda heshma zetu baadae jamani kina kesho
AU bosi wako karuka stage?!!!!
HEBU muulize kwanza.....!
Haaa...am sory msioolewa!ila kuna tofauti sana ye akumbuke ana pande mbili za familia sometimes ukijijua ni nani na una roles zipi unapaswa ubaheve urself!
She pretends kua ma mzuri kwa familia je?anahisi anayayoyafanya yanamjenga au yanambomoa
Hv haya mambo bhoke akija kuyasoma miak kadhaa ijayo mama ake atakia na majibu
Sometimes hasa sisi wazazi tufanye vitu ili kulinda heshma zetu baadae jamani kina kesho
AU bosi wako karuka stage?!!!!
HEBU muulize kwanza.....!