Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
hivi kwa nini unamchukia mange mme kuwa maskinii wewe hupumui kwanza mange huwa hajisifii kuwa mme wake ni tajiri nyie ushamba wenu tu ndo mnawaza hivyo,
angekua hapumui tungekua tunaongelea habari nyingine sa hivi....tena habari mbaya sana inavyoonekana hatà maana ya kupumua huijui...... BRN inakuhusu.
haya kakojoe ulale....