halafu hii mitandao isiwafanye binadam wakasahau ubinadamu wao. hujafa hujaumbika, na hizo wax muombe msije mkatumia siku mkashangaa mnaota nyasi haya...
Hahahaaaa! We hii biashara unayofanya biashara gani? Au ndo kunya unye wewe tukinya sie tumeharisha? Hahahaaaaaaa! Wanishangazaaa!
Kawapa choice WASEME SUUUUUU! Wakiamua yaishe yataisha, wakijitia wazimu basi tena! Hahahaaaa!kweli mambo mengine hayana msingi ye angedili na wateja wake coz alishawaelewesha akaendelea kupiga hela.huyo bibi na bedui wangeonekana wajinga tu
Nawe mtu mzima umeona ubadili ID ila usipitwe japo kuchambwa na id ya zamani unaona soo, unasemaje maana sikuelewi elewi madai yako.? Maana umekoroga koroga? Embu uliza hio ishu ya Trabella vizuri nikujibu.
MAMA MZAZI NDO ANAJUA WHAT IS BEST FOR HER KIDS! Bora uconcentrate kuwaprotect wanao! Watoto wake hawakuhusu! Kila mama watoto wake msiingiliane!
Hivi huwa anawashikia bastola ili muende kuyaona maisha yake kwenye blog yake?si nyie wenyewe na vizabina zabina vyenu ndo mnaingia blog ya UTURN?
mambo ya teenagers yanafanywa na mama wa watoto watatu............ cyber bullying atuachie vichunchuda Sie.......
hivi kwa nini unamchukia mange mme kuwa maskinii wewe hupumui kwanza mange huwa hajisifii kuwa mme wake ni tajiri nyie ushamba wenu tu ndo mnawaza hivyo,hatavkm mzazi ni mzazi hasa mama akumbuke ye mtoto awa nje ya ndoa alipaswa amheshimu mama yke kwa kumleta duniani angemetoaje?
hiyo vita unayomchochea mwenzio siri zake zote hadharani
tushajua kwamba mumewe mzungu mtaani
wako houston km kwetu mbagala
ashawahi kuiba kpnd anasoma usa akashtakiwa
mwanawe anasoma st.kayumba za usa
NO WAR ZAIDI YA AIBU....!
umeona eeh...!afu mi nakwambia wanaomtetea hawampendi hata kidogo maana wanazid kumharibu najua atakua anasoma sana hapa ili kesho tuchambwe kule kwake na team water mark.
Ila anapaswa ajiulize kwa nini hawa wananichochea?
Wengine wanapinga yupi mzuri yupi mbaya...?
mambo ya teenagers yanafanywa na mama wa watoto watatu............ cyber bullying atuachie vichunchuda Sie.......
Ndugu yake na rafiki yangu nilisoma nae chuo... pia ugonjwa uliomuua unanisumbua mie pia. So am touched kwakweli
Hamna aliyeanika maisha yake hapa hata mmoja..
Ye si anataka umaarfu acha watu wamjadili tena sie hohehahe ndo tunampa umaarufu
Hao celebrities hawana time nae wanaogopa atawalipua labda
So avumilie tu makavu!
Umaarfu zigo la miiba!
LARA 1 jeshi la mtu mmoja, we kiboko
Kaamua kuanika maisha yake si alitaka watu wa tazame??ndio tunaona hivyooo...drama queen wacha tumreduce to her size.....
ila Mange malezi ya kina Leyla yanamuhusu nini???? si a deal na watoto wake na yeye.........
hahahaha we kichunchuda gani wakati mwanao yuko tambaza pale lol mi simoooo bey