Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
hivi kwa nini unamchukia mange mme kuwa maskinii wewe hupumui kwanza mange huwa hajisifii kuwa mme wake ni tajiri nyie ushamba wenu tu ndo mnawaza hivyo,

angekua hapumui tungekua tunaongelea habari nyingine sa hivi....tena habari mbaya sana inavyoonekana hatà maana ya kupumua huijui...... BRN inakuhusu.

haya kakojoe ulale....
 
hivi kwa nini unamchukia mange mme kuwa maskinii wewe hupumui kwanza mange huwa hajisifii kuwa mme wake ni tajiri nyie ushamba wenu tu ndo mnawaza hivyo,

umemalizaa...?haya tuma salam kwa watu watatu usowajua fasterr....!!!!
 
ila Mange malezi ya kina Leyla yanamuhusu nini???? si a deal na watoto wake na yeye.........

LEYLA SI KAMUITA JAMANI KWENYE INSTA PAGE YAKE.? Na hajamchamba kamsema tu kama mtu mzima arudi shule kuuza bar new york soo maisha! Hajamtukana hata tusi moja!

Na anavomchamba linda huwa namkumbusha tu amsomeshe mtoto yule, kumbuka linda ana watoto 4, lakini Mange anamsisitiza juu ya leyla HUJIULIZI WHY.? Kwasababu Mange ni aunty wa leila, baba yake leila na marehemu baba yake Mange walikuwa best of pals, hata Mange aliwahi kusema hili siku 1. Ndo maana ana uchungu na aunty yake NA ANAMWAMBIA MAMBO YA MSINGI WALA HAMTUKANI! Hata siku moja hajawahi kumtukana lelya zaidi ya tabia zisizo nzuri.
 
anasema leyla wa watu anauza bar ye bhoke kamlea kwa maadili eti hajui upande mwingine wa maisha yake na haters wake

bar nayo ni kazi kama kazi nyingine.... Watu wanasomesha watoto kwa kazi hizo hizo za bar.......... aache dharau

Naona na wewe umekua unanipa habari lols....
 
Kila mdau aagize kinywaji will foot the bill... Thread imechangamka mnooo
 
tufanye yetu na ye afanye yake tatizo anatakaumaarufu na kumsema linda mi sjamskia linda kagombana gombana hovyo km shoga ako
afu anavyonanga watoto wa wenzie ye wa kwake sasa....
Mungu nsamehe sijaumba mie lakini llloh...!
Na ye mwenyewe alivyo hawazidi kwa uzuri wote alogombana nao hata kidogo....!
 
Wadau mie naogopa sijui km nitalala leo....naogopa kesho mange na mama water mark team wake wasije wakanichamba kny blog yake....lara 1 !am out
 
bar nayo ni kazi kama kazi nyingine.... Watu wanasomesha watoto kwa kazi hizo hizo za bar.......... aache dharau

Naona na wewe umekua unanipa habari lols....

tatizo yule mtoto anayakimbilia maisha ujue naskia hata shule kashindwa kumaliza na kazi ya bar ina risk sana hasa kwa binti mbichi ka leyla atauza bar mpaka lini Heaven je future yake itakuwaje hapo badae am just thinking lol
 
Last edited by a moderator:
Ushamba kweli ni mzigo ila ujinga ni zigo!

Yaani shahada za kutoka kwenye diploma mills ambazo hazina accreditation za kueleweka nazo zinatumiwa kwa bragging?

Ama kweli watu wakiwa hawana resources za fact-checking unaweza ukawadanganya na kuonekana unajua sana kumbe tatizo ni ujinga walionao hadhira!

Nani Marekani anaweza kutuma resume yake kwenye Fortune 100 au hata 500 companies huku resume inaonyesha umesoma kwenye vi-diploma mills huko madongo kuinama?

Nawaonea huruma mlioko bongo mnaodanganyika kirahisi rahisi!
 
now you know Cynthia .... u know it very well

Just imagine my dia mama yako hata ukiambiwa mchawi anakulogea wanao utampenda tu na hutothubutu kumtukana halafu anakuja kidampa mwingine anamtusi mamako.uwii I wanna .... her .God forbid .hana radhi ya mamashe will never settle until she settle first with her mom.am no body to judge but I do possess full right of expression & opinion
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…