kwa chaga bibi hajamkoa ndio kwanza kamtafutia soko coz yule ile ni biashara kwake hajafanya kitu pale. siku ile alivyowapa evidence na kukiri kuwa haraka ya biashara ilimfanya aweke ile pic ilitosha kabisa. sasa anavyozidi kuuwekea mafuta huu moto hautaisha watazidi kumuandama tu kila siku watakuwa wanatafuta wapi amejikwaa
Duuuh.
Kwa hiyo kumbe ni kweli yule demu ili chakula kikae mezani inabidi akajiuze.
Inatia huruma sana aisee!
Kwanini kuishi maisha ya tabu namna hiyo si bure arudi hapa bongo hata auze vocha.
Mi nilidhani anasingiziwa leo ndio nimejua ni kweli.
Poor her halafu umri unaonekana umekwenda sana yule alitakiwa awe mke wa mtu saa hizi na wanawe ila daah!