Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hahaaaaaaaa! UNAHAMA HAMA SANAAAA! Kutukanwa wametaka wenyewe alie watuma wapige picha na Souza nani? Wakomee! WE MANGE UMJUE USIMJUE HUMPI KUNYA! Atagombana mpaka uzeee, hawezi kukubali mmtie midole akae kimya tu lazima awatie mijiti msikilizie utamu! Hahhaaa mweznio katulia tulii na ndoa yake na karatasi zake kabatini achia wakinbizi kukazana na bankrupt migrants.
Ye anavyokua kiherehere kushadadia vya
wenzie jeee...?!!!kumbe umesahau alivyotoa ishu ya linda hadi kiu sijui sanj wakaitoa sijui alitaka umaarfu akawauzia anajua mwenyewe ila vya kwake vikishadadiwa macho yanamyoka mishipa inamsimama yule bwana hana lolote na anguko lake lara linakuja yule