Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.

asa na huyu anaetukana watu kutwa wasiomhusu jee...?!!!mange chizi ukubali ukatae..!mi nlianza kumjua mange kwa maugomvi yake ndo nkaanza kumfatilia hee bbaadae nkaja kujua kumbe huyu jini anapenda sifa,azidi yeye,mrs.perfect baas...!mkamuona hafai kua mke wala mama labda kahaba wa kwa manzese
 
Yan analazimishia ushindi hahahahahaha..kaanza kwa mikwara eti"who is mange kimambi"alafu hamna kitu kwel huyu ni lala 0 lala 1 naona kalala
USHINDI MI KWANGU CONSTANT HIZI MADA HAZIJAANZA LEO, wenyee team Linda washanawa kitambo ila MIE KUBWA LA MAADUI KWANZA NI JESHI LA MTU MMOJA NA ANAWAMUDU WOTE 100 CHEZEAAAA! Hahahaaaaa! Hapa mmenikuta!
 
sio sheria za tanzania linda mwenyewe hataki watoto wake wajulikane baba yao makongr alimdis mtoto km sikosei so kuna haja ya kulazimisha wakati uwezk wa kulea anal?!!!

anyway potezea tu sina haja kuingea mengi ila najuwa mengi sana.

Leticia nyerere mbunge wa chadema mpaka leo anatumia jina la nyerere wakati walishaacha siku nyingi na madaraka, je unadhani kuna asiyependa surname ya nyerere?
 
SASA ASITUZUGE ANASUBIRI KWENDA COLLAGE! Aseme mtu mie Leyla shule staki nataka niuze bar nitoe blow jobs za uhakika niingize mkwanja! Kwani tunamdai? Hahahaaaaaa!

Anakuzuga wewe au ni yeye anaishi maisha yake na wewe unaacha yako na kuanza kumfatilia eti ushauri ushauri my ass...ukiwa bar tender ugaibuni hakuna blow jobs unaonekana hujafika ...na ht akipiga hizo blow job wewe inakuhusu nini?stay in your lane...
 
USHINDI MI KWANGU CONSTANT HIZI MADA HAZIJAANZA LEO, wenyee team Linda washanawa kitambo ila MIE KUBWA LA MAADUI KWANZA NI JESHI LA MTU MMOJA NA ANAWAMUDU WOTE 100 CHEZEAAAA! Hahahaaaaa! Hapa mmenikuta!

Lala 0 leo umechemka,,leo hujaitwa umetuata ww,,tupe mambo unaleta blahblah
 
Hahaaaaaaaa! UNAHAMA HAMA SANAAAA! Kutukanwa wametaka wenyewe alie watuma wapige picha na Souza nani? Wakomee! WE MANGE UMJUE USIMJUE HUMPI KUNYA! Atagombana mpaka uzeee, hawezi kukubali mmtie midole akae kimya tu lazima awatie mijiti msikilizie utamu! Hahhaaa mweznio katulia tulii na ndoa yake na karatasi zake kabatini achia wakinbizi kukazana na bankrupt migrants.
 
anyway potezea tu sina haja kuingea mengi ila najuwa mengi sana.

Leticia nyerere mbunge wa chadema mpaka leo anatumia jina la nyerere wakati walishaacha siku nyingi na madaraka, je unadhani kuna asiyependa surname ya nyerere?

wanataka title ila linda yule kuna kitu wanaficha wale
 
Lala 0 leo umechemka,,leo hujaitwa umetuata ww,,tupe mambo unaleta blahblah
Hahahaaaaa! LIKE YOUR OPINION REALLY MATTERS! Fyi Niliitwa na Miss Neddy na Dina thread ya mchna nikakuta imeenda nikaona nianzishe hiii! MIMI HUMU JF VIP LAZIMA NIITWE SIWEZI KUJA KUJA TU kama wewe akujue nani.? Hahahaaaaaaa!
 
Hahaaaaaaaa! Naona vimekushinda kunyuti karibu ulingoni! ULIITWA HUMU ? We ndo umenijua leo, mimi kweny mada za Mange wananiitaga wenyewe coz wanajua sibahatishi wala sihami hami timu!

Ninyuti nn na umetuita tuje tumjue mange kimambi nakuja nakuta matapishi,,ooh nimeshinda,,watu mia,, hamniwezi hahahahahahah lala 0
 
USHINDI MI KWANGU CONSTANT HIZI MADA HAZIJAANZA LEO, wenyee team Linda washanawa kitambo ila MIE KUBWA LA MAADUI KWANZA NI JESHI LA MTU MMOJA NA ANAWAMUDU WOTE 100 CHEZEAAAA! Hahahaaaaa! Hapa mmenikuta!

lara una mikwara wewee....!hahaaaa ila leo hapana...!
mange hamna kitu we mtetee tu ngoja siku akutukane sipati picha sijui na we siku hyo utaandika magazeti mia
 
Hahahahahaaaaa! Whatever okay NIMEKUBALI LEYLA UZA BAR GAWA BLOW JOBS ZA KUTOSHA WEEEEE UMKOMOE MANGE! Hahhaaaaa! LIKE MOTHER LIKE DAUGHTER!
 
Hahahaaaaa! LIKE YOUR OPINION REALLY MATTERS! Fyi Niliitwa na Miss Neddy na Dina thread ya mchna nikakuta imeenda nikaona nianzishe hiii! MIMI HUMU JF VIP LAZIMA NIITWE SIWEZI KUJA KUJA TU kama wewe akujue nani.? Hahahaaaaaaa!
Wewe mwenyewe umeniita umesema tumjue mange kimambi nakuja nakutana na majigambo kunuka
 
lara una mikwara wewee....!hahaaaa ila leo hapana...!
mange hamna kitu we mtetee tu ngoja siku akutukane sipati picha sijui na we siku hyo utaandika magazeti mia
Hahaaaaa! WE UNAJUA HII VITA YA MANGE NI NEVER ENDING, inalala tu na kupoa next week tuko uwanjani. Ndo raha ya kuwa mwanajeshi YOU LIVE TO DIE ANOTHER DAY! Hahahaaaaaa!
 
Wewe mwenyewe umeniita umesema tumjue mange kimambi nakuja nakutana na majigambo kunuka
Hahahaaaaaa! WENZIO TUNAITANA KWA KUMENTION MAJINA.! Incase ulikuwa hujui notification inakujia! Hahahaaaaaa! AKUITE NANI, WENZIO TUNA NYOTA A CHIPS KUPENDWA NA WAREMBO NA MASHARO! Upo hapo bibi! Hahahaaaaaa!
 
mi ungenambia kwa nini kagombana na hawa:SHIGONGO
RAY
MWAMVITA
KIKI
TK
STARLISHA
ZEZE
Ningekupa ushindi na ungethibitsha
Yeye kuiba water mark
Ungetuambia kweli kule USA wanahaha km paka shume kweli si kweli
Afu nimeskia eti mmewe anatoka na flower girl hebu lara tudadavulie bas...
Na ile kwamba wamefulia mwanamme kumbe ni babys mam maana we siku ile umemfagilja mzungu mzungu wazungu hata vijijini kwetu wapo mapadr wetu!
 
Hahahaaaaaa! WENZIO TUNAITANA KWA KUMENTION MAJINA.! Incase ulikuwa hujui notification inakujia! Hahahaaaaaa! AKUITE NANI, WENZIO TUNA NYOTA A CHIPS KUPENDWA NA WAREMBO NA MASHARO! Upo hapo bibi! Hahahaaaaaa!

Lala 0 usikariri kichwa cha habari nacho kinaita sio lazima uite jina,,kwa kuwa nataka kumjua mange nimekuja nakutana na maloloso,,ooh nimeshinda
 
hahahahaha sijaomba poo tatizo unataka kuniattack personal baada ya kuona maji ya shingo ngastuka hahaha ok hayo ya ustadhii tuyaache maana ulishaclaim mlikwazana wapi kama kaja na ngozi mpya ya ngoswe nakuachia ngoswe mwenyewe
Hahahaaaaaa! WE UNAVOUATTACK MANGE SIO PERSONAL EEEEH NI PUBLICLY.? Hahaaaaa! Wataka umu attack mwenzio weweeee kwa raha zako, yako umeyachimbia! Mbayaaaa wewe! MKUKI KWA MANGE KWENU MCHUNGU KAMA SHUBIRIIIIII! Hahahaaaaaaaa!
 
Hahahaaaaaa! WENZIO TUNAITANA KWA KUMENTION MAJINA.! Incase ulikuwa hujui notification inakujia! Hahahaaaaaa! AKUITE NANI, WENZIO TUNA NYOTA A CHIPS KUPENDWA NA WAREMBO NA MASHARO! Upo hapo bibi! Hahahaaaaaa!

Mi nna nyota ya mihogo siruhusiwi kumjua mange kimambi?!!!!
 
hahahahaha sijaomba poo tatizo unataka kuniattack personal baada ya kuona maji ya shingo ngastuka hahaha ok hayo ya ustadhii tuyaache maana ulishaclaim mlikwazana wapi kama kaja na ngozi mpya ya ngoswe nakuachia ngoswe mwenyewe

Haijalishi...yale maswali ni valid kabisa na mpaka sasa hakuna aliyeyajibu kwa ukamilifu.

Zaidi ya hapo ni excuses zisizo na mashiko.

Hapana chezea Ustaadh bana teh teh teh....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…