Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.

Ye anavyokua kiherehere kushadadia vya
wenzie jeee...?!!!kumbe umesahau alivyotoa ishu ya linda hadi kiu sijui sanj wakaitoa sijui alitaka umaarfu akawauzia anajua mwenyewe ila vya kwake vikishadadiwa macho yanamyoka mishipa inamsimama yule bwana hana lolote na anguko lake lara linakuja yule
 
Lala 0 usikariri kichwa cha habari nacho kinaita sio lazima uite jina,,kwa kuwa nataka kumjua mange nimekuja nakutana na maloloso,,ooh nimeshinda
Hahahaaaaa! Utaitwa sanaaa na heading ,wenzio another level. MPAKA NIONE NOTIFICATIO NDO NIJE! Halooooooooo! Nakujibu mie coz watu kama hawakuoni nikikuignore utasubiri miaka mia kuwa expert member! Naenda na wewe hivo hivo mdogo mdogo!

Hii vita ina wenyewe wamenawa kitambo kina Amu, Dina, Warumi leo anacheza substitution, miss neddy, queen osheba leo hayupo huyu kiungo mfungaji, badili tabia kakaa reserve leo, hoe kajipa red card mambo yalikuwa mazito, mrembo by nature leo majeuhi, Matola anacheza ligi ya siasa leo, na wengine! HUNA KIWANGO CHA KUJIUNGA NA TEAM! I la nakukirimia tu coz magwiji wakiondoka hata sub wanacheza! Onesha uwezo! Hahahahaaaa!
 

Issue za Linda zipo kila mahali zingine mwenyewe kaweka UTUBE! Mnamtia tu Mange ubaya wa bureee! Mama bankruptcy, mama refugeee atahahah sana mwakahuu!
 
Usisahau kumwambia na dina kuwa japo mmejikaza ila nacha,ba si mchezo!


Yes hatukatai kuwa na mabifu, ila aina za beef za akina mange na wenzie zipo too low n cheap za kiswazi mno compare to her education level, ebu muangalie LADY JAYDEE jinsi alivyoanzisha BEEF na clouds, kampuni kubwa inayomilikiwa na watu wenye nguvu kwenye jamii na pesa chafu, bifu la kibiashara na bifu lililomletea faida kubwa sana, BIFU la watu wazito wenye hadhi kwenye jamii na pesa zao(LADY JAYDEE VS RUGE) Can u see how it sounds? Bifu la kiutu uzima na bifu la kisomi lenye hadhi ya kiwango, sio akina mange na usomi wao wanafanya mambo ya kipuuzi ambayo hata wakina UWOYA wasioenda shule hawajawahi kufanya, sasa wanavyochambana kama wakina mama mwantumu uko tandale yeye mange kama msomi anafaidika nini??

Atleast she could fight or beefing with the women ambao wanajielewa tena BIFU la kisomi, sasa kutwa kuchambana na watu local with no education, its shame kwa muke ya muzungu kama anavyojiita, ina maana toka akae na mzungu miaka yote haja adopt ata kitabia cha uko?? Mmh hawa watoto wa mbezi beach ni balaaa
 
Hahahaaaaaa! WENZIO TUNAITANA KWA KUMENTION MAJINA.! Incase ulikuwa hujui notification inakujia! Hahahaaaaaa! AKUITE NANI, WENZIO TUNA NYOTA A CHIPS KUPENDWA NA WAREMBO NA MASHARO! Upo hapo bibi! Hahahaaaaaa!

Sasa jamani si kaona thread ya mange imepambwa akaja ajionee ili amjue vizuri sasa tatizo kaja kakuta ni kumsifia tu hakuna la ziada
 
k
Hahahaaaaaa! Naona warumi umeingia 1st 11, bada ya kukaa reserve vya kutosha!

Kwa hio warumi watu wakimtia midole kumchokoa mambo yake awaangalie tu wanavoyaingilia mambo yake kinyume na maumbile? Kisa na mkasa? Msomi! Hahahaaaaaa! Atakuwa mwehu! AN EYE FOR AN EYE!

Watu mipapa yao iko bond wametulia na wamenyooka! Watu wengine sio wa kuachiwa!
 

hna hadhi ya kuwekeana mabeef na watu wenye hadhi zao mange anaongoza mtumbwi wa vibwengo...!
 
huna lolote ,umeleta thread km vile hatumjui mange watu ywamekuonyesha wanamjua umebaki unagwaya .....
 
hna hadhi ya kuwekeana mabeef na watu wenye hadhi zao mange anaongoza mtumbwi wa vibwengo...!
Kwa hio Max KIBWENGO MWEEEE.? Mkuu wa hili jamvi yule! Hayaaaaa! Kama hujapewa permanent ban!
 
Mi nataka kumjua mange simuhitaji amu wala Dina sijui vitu gani,,nimeiona kichwa cha habar naona mara nimeshinda,,hawaniwezi,,lala 0 vp ww kama umeshindwa kujibu muite mwenyewe aje tumjue au unaogopa kibarua kuota nyasi
 
unafahamu kama tundu antipas lisu na allute mughwai wote ni mawakili na wamezaliwa na baba mmoja na mama mmoja?

yap nawajua mume wangu ni chadema damu na ashagombania hadi ubunge akakosa ila siwez kumtaja mtamjua
 
huna lolote ,umeleta thread km vile hatumjui mange watu ywamekuonyesha wanamjua umebaki unagwaya .....
Hahaaaaaaaaa! Anaemjua nani labda zaidi ya mie msela wake? Watu wanaomjua wamemjua kuokoteza kwenye viblog uchwara! Kugway mimi BADO SANAAAA! YA LEILA NA LINDA YAMEKUISHIA MWEEEEE.?
 
yap nawajua mume wangu ni chadema damu na ashagombania hadi ubunge akakosa ila siwez kumtaja mtamjua
NDO MAANAAAAA! Alafu we ZE BOSS SI ALIKUULIZA UMEOLEWA UKASWMA HUJAOLEWA? Au umeolewa juzi eeehnheeeeeee? Hatualikani?
 
Duh!....makubwa haya


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hahahaaaaaa! WE UNAVOUATTACK MANGE SIO PERSONAL EEEEH NI PUBLICLY.? Hahaaaaa! Wataka umu attack mwenzio weweeee kwa raha zako, yako umeyachimbia! Mbayaaaa wewe! MKUKI KWA MANGE KWENU MCHUNGU KAMA SHUBIRIIIIII! Hahahaaaaaaaa!

mi sio public figure mjumbe wa nyumba kumi hanijui so cv yangu haina ushawishi am naishi peacefull sana details zangu zinabaki mali yangu ila za mange ni mali ya uma si umeyataka mwenyewe kuyaanika yaanike yote basi usiwe kigeugeui kama kobe unatoa kichwa mwili wauficha gambani hahahaha
 
Hahahahahaaaaa! Whatever okay NIMEKUBALI LEYLA UZA BAR GAWA BLOW JOBS ZA KUTOSHA WEEEEE UMKOMOE MANGE! Hahhaaaaa! LIKE MOTHER LIKE DAUGHTER!

Good!its good to admit a defeat....
 
Mi nataka kumjua mange simuhitaji amu wala Dina sijui vitu gani,,nimeiona kichwa cha habar naona mara nimeshinda,,hawaniwezi,,lala 0 vp ww kama umeshindwa kujibu muite mwenyewe aje tumjue au unaogopa kibarua kuota nyasi
Hahahaaaaaaa! Ingia humu U-turn Blog | u turn blog utamjua MAJARABAAAAAAAA,

Hao kina Dina sijakutajia wewe NIMEWAPA TU HESHIMA MAKAMANDA WA HUMU! It takes years to cahieve that!

NIMUITE WA NINI ANAPATIKANA HUMO KWENYE BLOG 24/7.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…