Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
jaydee next level mange pamoja na masters yake hamfikii jaydee kwa lolote sanasana anachomzidi elimu tu

jide ni umfananishe na mrs.choriii...?!!!kamuachaa mbal sana jide yupo moro mrswater mark yupo kwao ndk anaenda ubungo
 
ANANGOJA MWAMMY ATUMIE ID YAKE KUANZA KUMCHOKOA AFU KAMA KAWAIDA YAKE ANAMALIZIA VITA! Mwamy mjanja katumia fake id kuanza vita na kamalizwa kwa fake id! Hahahaaaaaaa!

Haya mumie nikutakie usiku mwema na pole kwa kazi nzito yakumtetea shost au sijui bosi.Ila siku ukichambwa usisite kutuomba msaada tuwe tunakupa point
 
Hahahahaaaaa! SI WANASEMAGA INOCENT TILL PROVEN GUILITY AMA? Sasa huoni mbunge hakupata chance la kusema his side of the story? Huoni mmemune mbunge wenu? Mama MICHUPI YA I LOVE YOU,! HAHAHAHAAA. Kwa hio aakisemacho mama MIchupi na minyonyonje nje hakitakiwi kuthibitishwa na mahakama? Salaleeeeeeee!
 
Haya mumie nikutakie usiku mwema na pole kwa kazi nzito yakumtetea shost au sijui bosi.Ila siku ukichambwa usisite kutuomba msaada tuwe tunakupa point
Hahahaaaaaa! Usiku mwema na hio siku haiko mbali mbona! Hahahaaaaaaaa! Nacheka kama mazuri! Mtafurahije humu jf! Hahaaaaa! Najihurumia si kidogo.
 

umemaliza....?!!!!haya kojoa ulale...!
kesho j3 usichewe shule
 
NdioEeeh,,,mange kazaliwa lin?wazazi wake nani na nan?mmmh elimu yake alianza lin na kuhitimu lin?
 
Hahahaaaaaa! Usiku mwema na hio siku haiko mbali mbona! Hahahaaaaaaaa! Nacheka kama mazuri! Mtafurahije humu jf! Hahaaaaa! Najihurumia si kidogo.

hamna hatutakucheka hata kidogo...!maana yule ni hana shoga wala rafiki!
 
Watanzania watu wabaya sana.

Eti watu wako tayari kusifia malaika wa miaka 20 kuuza bar kisa anaingilia ugomvi wa mtu wanayemuonea wivu.
Jamii forums ni ya great thinkers ila honestly kuna kundi la watu humu wana roho mbaya kama wachawi halafu hadi kuna wazee wenzangu kwenye hilo kundi kudadeki!

Kila anachoffanya Diamond lazima wakikosoe,kila anapopiga hatua lazima wajikusanye humu wamvunje moyo.Kuna kumkosoa mtu ili hili kundi la hawa wanga kazi yao ni moja tu,kuvunja moyo wakidhani wakifanya hivyo hao wanaowavunja moyo kwa kuwaita domo,sijui mama ubaya au sijui mwizi watashuka kuwa level zao.Wenzao ndio kwanza wanazidi kupanda.

Acheni wanga nyie mnajijua na kundi lenu mnatia aibu kila mwenye roho safi anajua nyie kundi lenu ni la watu wenye roho za kwanini.Kwanini Mange awe hivi,kwanini Diamond awe hivi.

Kila siku mpo hapa page kwa page bila aibu kuwavunja wenzenu moyo,yaani kila ukiingia jf hawa viumbe wapo busy hivi mna ajira nyie? Sidhani.

Mnatia huruma sana badala mtumie akili zenu kupanda juu nyie mnazitumia kujaribu kushusha waliopandishwa na Mwenyezi Mungu.
Mtawezea wapi.

Mtapika majungu sana ila hao mnaojaribu kuwashusha hawatashuka hata mfanyaje hadi siku Mungu atakapoamua kuwashusha.
 
JAMANI MIMI NALALA MCHANGO UMEISHIA HAPAAAAAA! Kesho siji wala nini na najua thread itafungwa!

TEAM USHUZ NAJUA THIS IS NOTH THE END, WE LIVE TO DIE ANOTHER DAY! TUNAPOZI HAPA ILI TUANZE THREAD INGINE YA MANGE KIMAMBI ANOTHER TIME ANOTHER DAY, ANOTHER SWAGGA!

Kama ilivo kawaida yangu Nichukue washa huu kuwaomba radhi colateral damage wote waliotumika kwenye hii thread,kina Linda Bedui, Sintah Mwalubadu, Staharisha, Leyla,Boke, Frank na mkewe, Mzungu wa watu maskini, Makongoro, Mali, advocate Zadock, Kiki, BABA MANGE, MAMA MANGE, Shammy, Mwammy ETC waliohusishwa kwenye huu uzi kwa namna yoyote either kwa kuwataja mie au walio comment MTUSAMEHE BUREEE na mtafute tu jinsi ya KUTUSAMEHE kwa niaba yawalio comment mimi muanzisha uzi naomba RADHI kwa niaba ya wote. Msituchukulie serious wala kukwazika kwa namna yoyote ile, hii ni furahisha genge tu.

Maneno mengi humu hayana authwncity humu. JUST FIND IT IN YOUR HEART TO FORGIVE US UNGRATE FULL SOULS FOR INVVADING YOUR PRIVACYAND THE PRIVACY OF YOUR LOVED ONES! I PRAY FOR ME AND ALL OTHERS TUACHE UMBEA TUFANYE YETU AND LET YOU PEOPLE BE, LIVE YOUR LIVES IN PEACE! AMEN!
 

Haya maswali yote umejibu kisiasa,,,


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
hahaha unasound kama yule mbeba box maarufu hapa jf ndo mana hujibiwi correct me if am wrong

Tatizo siyo kusound kama huyu au yule.

Tatizo ni ithibati ya hizo claims.

Hivi unadhani kama kungekuwa na ithibati thabiti za hizo claims maswali yangu yasingejibiwa?

Mbona credentials zangu nimeulizwa ingawa si moja kwa moja?

Trust me, kama kweli kungekuwa na ithibati ya hizo claims nakwambia tayari zingekuwa zishawekwa hapa.
 
Witty comment darling, i rate 100%, duh upo smart sana binamu, mimi ningependa kupata jibu la swali la 1 tu tuone uo utajiri wake

We binamu uko busy na Wema/diamon/Kajala umbea wa wasomi /watoto class huuwezi nini? ahaa
 
Hivi haya mabeef si yanapunguza wateja tuuu au mimi ndo bongolala maana sisi walalahoi wabeba box sio wateja, wateja wote wako bongo sasa ya nini kuuzi watu na kuongeza maadui....i just dont get it.

Mnaouliza mme wake msiwe wavivu kutumia google itawapa majibu yenu au ingieni salary.com, indeed.com, glassdoor.com, hizo site zote zina information ya salary ya mtu as long as unajua anafanya kazi gani sasa mnashindwa nini kugoogle salary info ya landscape designer in los angelos california?? au kama unataka use specific companies like HOK, Watg and Winderly Interiors, EDSA or Design workshop mtapata majibu ndo mtaweka moja na moja ni nini mjue kwa maisha aliyoyasema ya california ya apartment za 2000usd je anahitaji kuuza zile nguo au anafanya tuu kujishughulisha then mkijua umuhimu wake muache kumuharibia wateja maneke hao hao mnaosema mnampenda mara nyingi mnamchochea maugomvi anapagawa anaandika yale magazeti wakati yuko too emotional anaishia kuisult hata wateja wake....

Kuna wateja kakosa kwa kuwasema watu weusi au wanene nakadhalika yote hiyo mafans walishabikia sometimes muwe mnamtuliza boss wenu jamani
 
I pray for you so that GODS OVER LOOKS THIS COMMENT AKUJALIE UZEEKE UONE WAJUKUU ZAKO NA WATOTO WA WAJUKUU ZAKO! Hujui ulinenalo! Awaepushie wanao KIKOMBE CHA MANGE HATA WAKIWA NA MIKA 40 NA ZAIDI.

Tena Yatima ni mtu ambaye bado hajabalehe na hawezi kujitegemea... we jimama kama lile kujiita yatima si hatari hiyo...

Bosi wako anapenda ugomvi na akishatibua anatafuta huruma kwa watu.
Naomba Mungu siku auvae mziki wa Dida...atajua dunia inazungukajeeee!

Nlukuwa namkubali, nlikuwa naamin kweli anaonewa lakini kwa ile ishu ya kuchamba marehemu nimegundua hana akili...

Yani nlitaka nisicomment kwenye huu uzi ila imetokea tu....Mange jirekebishe, watu hawaishi hivyo, kama unaonewa Mungu atawaumbua maadui zako. Mungu hapend watu wanaojikweza, Ukijipandisha utashushwa....!

cc; My Daktari....sijachambana na mtu hapa....I respect U!
 
HaaHaaaa....Pole Mummy Nimeona Uzi Wa Mtoto Wa Julie.....MY Siblings Are Battling With Asthma Too....But God Is Great...You Will Be Fine...

Thanks swithat... I believe so
 
ila Mange malezi ya kina Leyla yanamuhusu nini???? si a deal na watoto wake na yeye.........

Toto lake bayaaa, jeusiiii, km dumeee...anajitahidi kulivalisha halipendeziiii ( kama yeye anavyowasema wale wamama wa watu bila kosa....eti wamepauka kama wanakula cement..)

Ye mwenyewe ana sura mbayaaa, miguu kama anatembelea mikono...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…