Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Hahahahaaaa! Hio sio siri UKIMUANZA LAZIMA ALITAFTE DUSHELELE LAKO ALIWEKE BOND,! Hahahaaaaa! Lazima uwe mpole! Bora uwe makini na dushelele lako! Usiku mwema!

Mdomo tu yule ngoja arud TZ watu wamshughulikie mbona mzungu atamsahau, watu wamempania kitu mbuta nanga ndan atajuta mwaka huu.
 
Mikombora km ipi wewe sie tunKuona juha tu kubishana na vivuli watu behind keyboard !wewe mwenyewe hufahamiki ila unaatract attention negative image kwa yeye anayefahamika mange,any way birds of the same feather....uko km yeye hamkubali kujishusha hili li thread litafika alfu lela ulela hovyooooo
HAHAHAAAA NAONA UNAONA CLEAR SASA? Hahaaaa! Hata mkiniona mfalme hamnipi kunya! Halooo! Mmezoe kumuonea mtotowa watu leo apumue kidogo! Dooooh!
 
JIDE NI JIDE NA MANGE NI MANGE!

Mange ni mpare na ni asili yake kupenda kesi, na kama mtu anahamu ya kuchbwa kwanini asichambwe? Beef hizi hizi za uswazi Vodacom kila mwaka wanamuongezea hela sababu traffic inakua. Ye hana akili afanye beef na Mwammy wakati Mwammy bosi huko voda akose mkate!

HAWA HAWA WANYONGE, WASIOENDA SHULE KINA BEDUI, SITAHARISHA, BINTI MWALUBADU ATAWATUMIA KAMA CHAMBO! Na mipapa haitolewi bond ngooooo! Hahahaaaaa!

Ndo mana hamgusi mwamvita ng'oooo...!kumbe anajua kunyenyekea km ye mwanammke haswaaa...!amguse aone km ajarudi bongo kwa meli ya mizigo...!kumbe ana wanyonge wakeee...baaas kuanzia leo nshamjua!
 
Unajua...walau nikijua mwaka aliohitimu hapo UDSM na kozi aliyosomea itakuwa rahisi ku-cross check na watu waliomaliza mwaka huo na pia nitaangalia kwenye vile vi-booklets vinavyoorodhesha wahitimu na majors zao kabla sijaenda utawala kwenye ofisi ya registrar.....

Get my drift? Na hapo ni kwa UDSM tu.....bado Marekani....ambako ni rahisi zaidi kujua kama kweli alisoma college au la!

Kweli Mange Kimambi is something else aiseee!

Kweli wabongo majobless ni wengi hadi inatia huruma kudadekii!!
Hivi mtu mwenye hata banda lako la kuuza nyanya unaweza kupata muda kutoka kwako eti unaenda UDSM ku-cross check ili ulete facts JF za Mange Kimambi??.Hivi unaanzaje kwanza???,unalala huku ukijua kesho ratiba yako kutoka nyumbani hadi udsm au kupigia simu jamaa zako walioko pale wakupe hizo info, then unakuja jf unarusha mipwenti yako, washkaji wanakudunga mi likes ya kufa mtu,ofcoz huo uzi lazima muupeleke hadi page 700 maana u guyz gat all the time in d world,never busy, then u call it a day,usiku unalala mwenyewe ukiwa na tabasamu pana usoni.LOL.Kesho unaamka unaingia jf,kesho kutwa tena,monday to sunday,twenty four seven then its December,mwaka umekatika.
Hao naopoteza muda wenu kuwavunja moyo wanakua level zingine saa hizo ,hasa financialy,sisi wengine huku tunahesabu idadi ya likes daadekii!

PS:Sasa Sheikh hapo pa blue kuliko kuzurura ukitafuta umbea ambao hautakusaidia kwanini usizurure kutafuta ajira kiongozi wangu??

Damnnn!
So sad!
 
Mdomo tu yule ngoja arud TZ watu wamshughulikie mbona mzungu atamsahau, watu wamempania kitu mbuta nanga ndan atajuta mwaka huu.
Hahahaaaa! Warumi unaniangusha! Na wewe unamkubali Mbuta?

SO ILE KSEI YENU YA MBUNGE WENU NA MBUTA KUMBAKA BIBI WA WATU INAENDELEAJE.? Manakw natafuta credibility ya kauliza Mbuta ila key point ni hizo shutuma za MBUNGE WENU WA CHADEMA! Hahahaaaaa!

Bongo kaja mara ngapi Mange bwanaaaaa? Mtoto mdogo snaaa mpaka akue na ATAKUJA I BET YOU,!
 
Kwa hyo mange kazaliwa mwaka gani?kaanza lin elimu yake na kuhitimu lin?wazazi wake ni kina nani? Nijibu hayo kwanza alafu tuendelee

Alibakwa,,,eeh mange kwa nn aligombana na Mashaka zake(mwamy na kiki),,kwa nn alimsusa mama ake(Mungu amlaze pahala pema)
 
Ndo mana hamgusi mwamvita ng'oooo...!kumbe anajua kunyenyekea km ye mwanammke haswaaa...!amguse aone km ajarudi bongo kwa meli ya mizigo...!kumbe ana wanyonge wakeee...baaas kuanzia leo nshamjua!
Hahahaaaaa! NDO MAANA NAKWAMBIA MJINI MGENI BADO!
Alimgaragaza chaliii kwa mazito kwenye UDAKU SPECIALLY sio kwenye blog yake! Aaaaaaaah! Ilikuwa nomaaa nomani! Daaaah! NILIFAIDI UMBEA MPAKA ROHO IKANISUUZIKA!

Ila mliopitwa mlipitwa ! Ukisearch humu jf Mwammy unaweza yapata kidogo labda! Hahahaaaaaa!w
 
Kwa hyo mange kazaliwa mwaka gani?kaanza lin elimu yake na kuhitimu lin?wazazi wake ni kina nani? Nijibu hayo kwanza alafu tuendelee

Alibakwa,,,eeh mange kwa nn aligombana na Mashaka zake(mwamy na kiki),,kwa nn alimsusa mama ake(Mungu amlaze pahala pema)
Hahahaaaa! WEWE UMETUMIA POST YA MBUTA KAMA REFERENCE,! Okay alibakwa! Mahakama gani ilidhibitisha? Alifungua kwsi wapi vileeee? Na mbunge kachukuliwa hatua gani? Aiseee! Kumbe chama kina wabakaji! Nijibu hayo kwanza tutarudi kwa mashoga zake! Tukiwa njiani kurudi HIVI MASJOGA ZAKE WALISEMA KWANINI VILE HAWAONGEI NA MANGE TENA.?
Mi ya marehemu sijihusishi coz hata mkimsingizia hawezi kurudi kujitetea!
 
Hahahaaaaa! NDO MAANA NAKWAMBIA MJINI MGENI BADO!
Alimgaragaza chaliii kwa mazito kwenye UDAKU SPECIALLY sio kwenye blog yake! Aaaaaaaah! Ilikuwa nomaaa nomani! Daaaah! NILIFAIDI UMBEA MPAKA ROHO IKANISUUZIKA!

Ila mliopitwa mlipitwa ! Ukisearch humu jf Mwammy unaweza yapata kidogo labda! Hahahaaaaaa!w

Kama mwanamke kweli amchambe live sio kutumia fake id.Yeye si kazoea kuchamba basi amchambe live kwenye blog yake kama hajalala njaa na marekani yake.
 
HAHAHAAAA NAONA UNAONA CLEAR SASA? Hahaaaa! Hata mkiniona mfalme hamnipi kunya! Halooo! Mmezoe kumuonea mtotowa watu leo apumue kidogo! Dooooh!

Pole weee na sie hatunyamazi zifike tu hizo page 1000
 
Hahahaaaaa! NDO MAANA NAKWAMBIA MJINI MGENI BADO!
Alimgaragaza chaliii kwa mazito kwenye UDAKU SPECIALLY sio kwenye blog yake! Aaaaaaaah! Ilikuwa nomaaa nomani! Daaaah! NILIFAIDI UMBEA MPAKA ROHO IKANISUUZIKA!

Ila mliopitwa mlipitwa ! Ukisearch humu jf Mwammy unaweza yapata kidogo labda! Hahahaaaaaa!w
Tupe na sie umbea tusuhuzike,,haya ndo mambo ya who is mange kimambi tumjue leo kinaga ubaga
 
HAHAHAAAA NAONA UNAONA CLEAR SASA? Hahaaaa! Hata mkiniona mfalme hamnipi kunya! Halooo! Mmezoe kumuonea mtotowa watu leo apumue kidogo! Dooooh!

leo hapumui anazidi kujiona mbwa anajitukana nwenyewe....huko alikk na keshi mkatutukane kwenye blog yenu!
 
asa kumbe wote wana michezo michafu yule mkimbizi...!huyu kalazimisha ndoa!
Ila mwambie bosi wako uchorii watamchoma moto mama angu mzazi...!

Acheni wivu watanzania.
Daah.
Hebu acheni kupoteza muda kila siku mko hapa kuvunja moyo watanzania wenzenu wanaojitahidi kutengeneza maisha yao.
Mnamsema Mange kuwa anasema watu vibaya kwenye blog yake,kweli nyani haoni masaburi yake,hili kundi lenu la majungu na fitina si nyie mliombatiza Diamond jina la domo?Si nyie mnamuita Wema mama ubaya?
Au hiyo sio cyber bulling huh?
Acheni roho mbaya nyie.
Kila siku mko hapa kujaribu kuwavunja moyo wenzetu wanaojitahidi kwenye fani zao.
Diamond,wema kila siku kuwasema lakini hamjioni.
Hebu rekebisheni maisha yenu sio wengine mnaandika mange kafulia huku hapo mmevaa mitenge ina matobo makalioni.
 
Kama mwanamke kweli amchambe live sio kutumia fake id.Yeye si kazoea kuchamba basi amchambe live kwenye blog yake kama hajalala njaa na marekani yake.
ANANGOJA MWAMMY ATUMIE ID YAKE KUANZA KUMCHOKOA AFU KAMA KAWAIDA YAKE ANAMALIZIA VITA! Mwamy mjanja katumia fake id kuanza vita na kamalizwa kwa fake id! Hahahaaaaaaa!
 
Hahahaaaaa! NDO MAANA NAKWAMBIA MJINI MGENI BADO!
Alimgaragaza chaliii kwa mazito kwenye UDAKU SPECIALLY sio kwenye blog yake! Aaaaaaaah! Ilikuwa nomaaa nomani! Daaaah! NILIFAIDI UMBEA MPAKA ROHO IKANISUUZIKA!

Ila mliopitwa mlipitwa ! Ukisearch humu jf Mwammy unaweza yapata kidogo labda! Hahahaaaaaa!w

kumbe ndo alikua yeye she is pathetic baass...km ye mwanamke si angemtukana yeye nakumbuka afu kumbe kule udakuni anajitumiaga msg ndo manq mbuta nanga alimpa kubwa
 
Tupe na sie umbea tusuhuzike,,haya ndo mambo ya who is mange kimambi tumjue leo kinaga ubaga
Hahahaaaaa! Unadhani sina hamu ya kuyatoa basi! Mmmmmh! Ila COLLATERAL DAMAGE ndo nawahurumia kina Mwammy, tuache yaliyopita si ndwele! TULIOFAIDI TULIFAIDI BAAAAAAAAASSS!
 
Hahahaaaa! WEWE UMETUMIA POST YA MBUTA KAMA REFERENCE,! Okay alibakwa! Mahakama gani ilidhibitisha? Alifungua kwsi wapi vileeee? Na mbunge kachukuliwa hatua gani? Aiseee! Kumbe chama kina wabakaji! Nijibu hayo kwanza tutarudi kwa mashoga zake! Tukiwa njiani kurudi HIVI MASJOGA ZAKE WALISEMA KWANINI VILE HAWAONGEI NA MANGE TENA.?
Mi ya marehemu sijihusishi coz hata mkimsingizia hawezi kurudi kujitetea!
Kabanwa hadimahakama iamue???hakunaga hyo kubakwa ni tendo linaweza kuwa la siri au hadharani kujamiina pasipo ridhaa.mahakama haihisiki au mahakama inabaka siku hzi?!!!!eeh nipe manondo,,mzungumzie utakuwa umesaidia 'who is mange kimambi'inajumlisha kila kitu
 
kumbe ndo alikua yeye she is pathetic baass...km ye mwanamke si angemtukana yeye nakumbuka afu kumbe kule udakuni anajitumiaga msg ndo manq mbuta nanga alimpa kubwa

Hahaaaa! Team Mwammy ndo walianza chokochoko iliposhuka tema Mange salaleeeeeeeeeee! Daaaaaaaah! Aibuuuuuuuuuuuu! Afu wote wakawa wamejificha kwa fake id wanasoma tu na kugawa mabomu kwa makamamnda wao! Cs mum, Marichui, Mari kenge enzi hizo, fenesi pate, muke ya mchinaa hapakutoshaaaaaa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom