warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hahahahaaaa! Hio sio siri UKIMUANZA LAZIMA ALITAFTE DUSHELELE LAKO ALIWEKE BOND,! Hahahaaaaa! Lazima uwe mpole! Bora uwe makini na dushelele lako! Usiku mwema!
Mdomo tu yule ngoja arud TZ watu wamshughulikie mbona mzungu atamsahau, watu wamempania kitu mbuta nanga ndan atajuta mwaka huu.