Tuna shida mnoo sieer na haziishii acha siku ipiteee kama ilivyoo hadi wa ulaya wana shidaa utafikiri wapo mbagala khaaa!!!
hapa hajachambwa amepewa fact tu. wanaomchukia ni hao wanamjaza upepo agombane na watu lkn wanaompenda wanamwambia ukweli abehave like msomiiu
sema hakya mungu!! hadi wa ulaya???
`aisifuye mvua imemnyeshea..'
Watu wametembeaa dunia nzima hawajaacha nchi hata moja na wamepiga kimyaa tu,
Binamu kama blog ni utajiri hebu anzisha nione utakavyotajirikaaa hapa mjiniii
Majibu marahisi tu loooooo
Nikajua labda ata orodhesha utajir wake tunaambiwa anamilik blog duh nikachoka kweli lara ni kiboko yan kabisa anaandika et anamilik bongo nn sijui , nikajua labda tutaambiwa ana milik walau hata mgahawa kama jide maana najua tusingepumua, sasa bibie bongo hana ata asset ya maana au ndo urith wa baba? Ataje mali zake za kueleweka urith hat akina mwantum wanao uko tandale
Labda anajenga hotel kama serena uko ulaya ngoja tusubir billionaire mange, naona had trip zake za nch ya nje tume orodheshewa chezea
Wengine hatuishii kwaajili ya blog bana wala hatuna mawazo ya kua blog acha wenye nazo wawe nazo ukitaka anzisha yako
Haki ya Dinazarde a.k.a muke ya musukumaa,hadi wa ulaya wana sheeeeedaaaaaa warud tu bongo hata wajengee Us kujenga hakuna ni kununua makazi hiyo pesaa sasa heeeee kwa bongo nyumba mbilii au tati,we shogerr achaaa
Nikajua tutaambiwa mange kaporomosha hekalu la maana uko ulaya kama alivofanya MWANVITA uko dubai au hata ghorofa kama MILLEN MAGESE apa bongo achilia mbali tu kale ka mjengo ka chini ka JIDE kule mbezi maana bibie ata pagara hana, sasa tunaambiwa ana miliki sijui blog mweeeh ndo analipwa na voda kila mwisho wa mwez? Ndo utajir wake mwenzio anamilik bongolicious chezea mama shipping cost
Dada angu kipenzi naomba niambie whats going on, sielewi kitu
Hyo kama anatak kuanzisha blog akaanzishe na bib zake uko kimbij atupishe apa manina zake
Yaan binamu mimi leo kwenye hii thread sitajadili tena kuhusu Mange hana jipyaa tunaongelea makuukuu watu tuna detail hadi mmewe anapofanyia kazii, mbona angekua na mapene ingejulikanaa tu Mange tenaa,tukija kwa shost yake Wema ndio hana lolote kazi kubadili madera na kuhudhuria vigodoro, sitamjadili tenaa leo namaliziaa hii sred ya mwishooooo
Hahhhhhhhhhaaaaaa AISEEE JAMANI TUPIGE KURA UPANDE WA LARA NA WA KWETU TUPATE NANI MSHINDII? ??
PIA NI WA NGAPI WAPO UPANDE WA LARA NA MANGE POST ZIHESABIWE TU YAAN LEO LARA UMEPATA LIKES 9 PAGE ZOTE HIZIIII DUUU NDO UJUE UMEDODAA NA MANGE WAKO WALIOMTETEA MANGE HAWAZID 6 PAMOJA NA LARA MWENYEWEE
hahaaa....!watu wanahama hama km wafugaji wa kimasai vile....! njooono bongo tu..mwendq kwao s mtoro
Hhahhahaaa umeona eehhneee yani mke wa tajiri anakosa hata dola 50 za kushonea hahhha aaaaaa mbavu zangu
Si ndio zao na mama ubaya kujiongeza ooh namilik nyumba ya mil 400, ooh sijui dubai ooh mar china uku hawana mbele wala nyuma kiko wap sasa kutwa kushinda kwa mama ndomo kuvizia ugali wa watu yan ana dhik na yule hatar, ivi mbona shoga yake dida hayuko iv? Mwenzie kila siku anaacha wanaume si pesa zipo bhana sasa mama ubaya akiachwa apo atakavyojinyea maana hana mbele wala nyuma
jana hakua na cha maana lara...!ametumia nguvu sana kujibu hoja...!
Wengine hatuishii kwaajili ya blog bana wala hatuna mawazo ya kua blog acha wenye nazo wawe nazo ukitaka anzisha yako
matokeo yapi? mi siteteagi kashfa zisizo na kichwa wala miguu...huwezi kunikuta humu eti namchamba mtu ikibidi natoa ushauri tu nasepa....awe marufu asiwe maarufu..ila wanawake tuna shiida sana,