Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
hapa hajachambwa amepewa fact tu. wanaomchukia ni hao wanamjaza upepo agombane na watu lkn wanaompenda wanamwambia ukweli abehave like msomiiu

Msomi wa uarabuni duuu acha nicheke mieee
 
sema hakya mungu!! hadi wa ulaya???

Haki ya Dinazarde a.k.a muke ya musukumaa,hadi wa ulaya wana sheeeeedaaaaaa warud tu bongo hata wajengee Us kujenga hakuna ni kununua makazi hiyo pesaa sasa heeeee kwa bongo nyumba mbilii au tati,we shogerr achaaa
 
Last edited by a moderator:
Watu wametembeaa dunia nzima hawajaacha nchi hata moja na wamepiga kimyaa tu,
Binamu kama blog ni utajiri hebu anzisha nione utakavyotajirikaaa hapa mjiniii
Majibu marahisi tu loooooo

Nikajua tutaambiwa mange kaporomosha hekalu la maana uko ulaya kama alivofanya MWANVITA uko dubai au hata ghorofa kama MILLEN MAGESE apa bongo achilia mbali tu kale ka mjengo ka chini ka JIDE kule mbezi maana bibie ata pagara hana, sasa tunaambiwa ana miliki sijui blog mweeeh ndo analipwa na voda kila mwisho wa mwez? Ndo utajir wake mwenzio anamilik bongolicious chezea mama shipping cost
 
Nikajua labda ata orodhesha utajir wake tunaambiwa anamilik blog duh nikachoka kweli lara ni kiboko yan kabisa anaandika et anamilik bongo nn sijui , nikajua labda tutaambiwa ana milik walau hata mgahawa kama jide maana najua tusingepumua, sasa bibie bongo hana ata asset ya maana au ndo urith wa baba? Ataje mali zake za kueleweka urith hat akina mwantum wanao uko tandale

Labda anajenga hotel kama serena uko ulaya ngoja tusubir billionaire mange, naona had trip zake za nch ya nje tume orodheshewa chezea

hivi mwenye akili atagombania cha baba...?!!!km kote alienda kuuza nyapu?!!!
 
Haki ya Dinazarde a.k.a muke ya musukumaa,hadi wa ulaya wana sheeeeedaaaaaa warud tu bongo hata wajengee Us kujenga hakuna ni kununua makazi hiyo pesaa sasa heeeee kwa bongo nyumba mbilii au tati,we shogerr achaaa

hahaaa....!watu wanahama hama km wafugaji wa kimasai vile....! njooono bongo tu..mwendq kwao s mtoro
 
Last edited by a moderator:
Nikajua tutaambiwa mange kaporomosha hekalu la maana uko ulaya kama alivofanya MWANVITA uko dubai au hata ghorofa kama MILLEN MAGESE apa bongo achilia mbali tu kale ka mjengo ka chini ka JIDE kule mbezi maana bibie ata pagara hana, sasa tunaambiwa ana miliki sijui blog mweeeh ndo analipwa na voda kila mwisho wa mwez? Ndo utajir wake mwenzio anamilik bongolicious chezea mama shipping cost

Yaan binamu mimi leo kwenye hii thread sitajadili tena kuhusu Mange hana jipyaa tunaongelea makuukuu watu tuna detail hadi mmewe anapofanyia kazii, mbona angekua na mapene ingejulikanaa tu Mange tenaa,tukija kwa shost yake Wema ndio hana lolote kazi kubadili madera na kuhudhuria vigodoro, sitamjadili tenaa leo namaliziaa hii sred ya mwishooooo
 
Dada angu kipenzi naomba niambie whats going on, sielewi kitu

Mim mwenyewe hata sielewi......ndiyo maana nimewaita wahusika.....tukae hapa tuwasome labda tutaelewa uko mbeleni....
 
Hyo kama anatak kuanzisha blog akaanzishe na bib zake uko kimbij atupishe apa manina zake

Shangaaaaaa watu wapo chaliii no majibu,blog akaanzishee yeye sie hatutegemei blog
 
Yaan binamu mimi leo kwenye hii thread sitajadili tena kuhusu Mange hana jipyaa tunaongelea makuukuu watu tuna detail hadi mmewe anapofanyia kazii, mbona angekua na mapene ingejulikanaa tu Mange tenaa,tukija kwa shost yake Wema ndio hana lolote kazi kubadili madera na kuhudhuria vigodoro, sitamjadili tenaa leo namaliziaa hii sred ya mwishooooo

Si ndio zao na mama ubaya kujiongeza ooh namilik nyumba ya mil 400, ooh sijui dubai ooh mar china uku hawana mbele wala nyuma kiko wap sasa kutwa kushinda kwa mama ndomo kuvizia ugali wa watu yan ana dhik na yule hatar, ivi mbona shoga yake dida hayuko iv? Mwenzie kila siku anaacha wanaume si pesa zipo bhana sasa mama ubaya akiachwa apo atakavyojinyea maana hana mbele wala nyuma
 
Hahhhhhhhhhaaaaaa AISEEE JAMANI TUPIGE KURA UPANDE WA LARA NA WA KWETU TUPATE NANI MSHINDII? ??
PIA NI WA NGAPI WAPO UPANDE WA LARA NA MANGE POST ZIHESABIWE TU YAAN LEO LARA UMEPATA LIKES 9 PAGE ZOTE HIZIIII DUUU NDO UJUE UMEDODAA NA MANGE WAKO WALIOMTETEA MANGE HAWAZID 6 PAMOJA NA LARA MWENYEWEE

Hhahhahaaa umeona eehhneee yani mke wa tajiri anakosa hata dola 50 za kushonea hahhha aaaaaa mbavu zangu
 
hahaaa....!watu wanahama hama km wafugaji wa kimasai vile....! njooono bongo tu..mwendq kwao s mtoro

Nomaaaaaa yaan maisha magumu jamanii, watu wanadhan kwenda US ni raha mwanzo mwishoo weee nani kasemaaaa,kule kuna unafuu tu lakini kusema utishe wenzio hapoo ni kutudanganyaaaaa,bora nae atafute kazii tu afanye
 
Hhahhahaaa umeona eehhneee yani mke wa tajiri anakosa hata dola 50 za kushonea hahhha aaaaaa mbavu zangu

Yaaan ni sheeedaaaaaa anachotuzidii kule no vumbi,huduma zipo lakini kwenye kujitapa awaachie wengine wenye nazoooo
 
Si ndio zao na mama ubaya kujiongeza ooh namilik nyumba ya mil 400, ooh sijui dubai ooh mar china uku hawana mbele wala nyuma kiko wap sasa kutwa kushinda kwa mama ndomo kuvizia ugali wa watu yan ana dhik na yule hatar, ivi mbona shoga yake dida hayuko iv? Mwenzie kila siku anaacha wanaume si pesa zipo bhana sasa mama ubaya akiachwa apo atakavyojinyea maana hana mbele wala nyuma

Anashauri watu si amshaurii wema na ndugu zakee,kazi kuongeza ziro tu magari yenyewe ya mkopo wakati kuna watu Us wanaendesha magari yao bila mkopo kwa cash weeeeeee na kazi juu na urai juu na ni wabongo aache hizooooo
 
jana hakua na cha maana lara...!ametumia nguvu sana kujibu hoja...!

Nimeona leo kubwa la maadui ana jibu swali ndani ya swali kwa namna hii tegemea hakuna jibu, mie binafsi nimemjua jana huyo mambi sikuwahi kumsikia before na nimezaliwa Dar es salaam hii hii. So nilitegemea topic inavyosema"Who is mambi?" ningemjua zaidi na zaidi lakini baada ya kusoma na kujua alikuwa hapatani na mama yake nimempuuza sitaki hata kumjua zaidi maana nimemuona mwehu tu!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
matokeo yapi? mi siteteagi kashfa zisizo na kichwa wala miguu...huwezi kunikuta humu eti namchamba mtu ikibidi natoa ushauri tu nasepa....awe marufu asiwe maarufu..ila wanawake tuna shiida sana,

Yaani mtu ambaye anatenga muda wake kumdiscuss mtu,kumchamba mtu ana IQ ndogo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom