Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.

Hahahsssaaaaaaaa
YOLO.
 
hivi mkuu unajua una kipaji cha uchekeshaji?
 
we kuniita mi jobless sio tusi....!???
vinanoga vya mwari eeeh...?!!!
vya kungwi havinogi...?!!!
eti...?!!!
una mamlaka gani ya kuniita mi joblesss...
?!!!

Okay,sitakuita jobless,nitakua nakuita asiye na shughuli za kufanya nje ya jf.
Kama nimekosea nisahihishe.
 
Lara Can you explain kwa nini mtoto wake anasoma Charter school.Do you know the meaning of charter school .kunawakati alipost alipost mwanae amefanya vizuri .Unasemaje hapo
 
Mkuu Matola,nimegundua Google imekusaidia umekua msomi kuliko wanachama wenzio wa majobless camp.Sasa mkuu mm nimeanzisha kijiwe kingine cha kuchomea mahindi,kijana nlomuweka ananiibia sana,naona elimu yako uliyoipata google imenivutia kukuajiri ww,ukifaulu interview nitam fire huyu jamaa nikuajiri wewe.Jamaa ananiibia sana maana muda mwingi niko busy na genge langu la nyanya.
 
Last edited by a moderator:
Lara Can you explain kwa nini mtoto wake anasoma Charter school.Do you know the meaning of charter school .kunawakati alipost alipost mwanae amefanya vizuri .Unasemaje hapo

Hiyo hiyo itakua st kayimba za Marekanii teh teh halaf et aonewe wivuu
 

eh mi mgeni mji huu
 
Wafanyao shughuli ktk field ya aina yeyote ule hawawez kuwa hapa kucoment 24/7.
Swali jingine.

wewe na huyo lara ndo majobless hv mnalipwa na mange mnamsifia weee hv kwanini na nyie mcjishughulishe walau na wewe uendelee i used to admire mama mamasters bt uswahili wako noo noo kwa kweli amenitoka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…