Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
kwa kifupi maisha ya ughaibuni ujanjaujanja lazima uwepo kama mtu anaiona fursa ya kuitumia.

hata tuliopo bongo mtu akipata connection ya watoto yatima wanalipiwa school fees feza schools au any expensive schools sidhani kwa wabongo ninaowajuwa mimi kama wataiacha fursa hiyo.

cha msingi watanzania huko majuu sasa tuuache uswahiliswahili tupendane.

leo hii uchaguzi wa rais wa dmv marekani kampeni za kidini zimeanza eti achaguliwe mwislamu mwenzao idd sandaly, hii ni msg wanatumiwa watanzania waislamu waliopo dmv. hawa ndio watanzania wasiojuwa marekani ni taifa la kikristo lakini kuna wakristo wananyimwa viza na kupewa viza waislamu.

You Are Being Fair....
 
Natalia,Nakuomba Unisaidie Tu Nukuu Ya Kuwa Mamnge Alisema She Is Wealthy...Ahsante.
 
Natalia,Nakuomba Unisaidie Tu Nukuu Ya Kuwa Mamnge Alisema She Is Wealthy...Ahsante.

Eeeeeee mashabiki wake husemaa,hata lara alisema ni tajiri ana blog, unakumbuka alipigaga picha katawanya pesa kitandaniu huo ni utajiri Ntakasi
 
Last edited by a moderator:
Ni bilionea mdada aishie Marekani yupo juu kama kina kardashian hadi wabongo wengine wanamuonea wivu waishio Usa

ni bilionea wa nini hasa, anahusika na nini ....? kwani ubilionea unaanzia shilingi ngapi?
 
ni bilionea wa nini hasa, anahusika na nini ....? kwani ubilionea unaanzia shilingi ngapi?

Ni bilioneaa ana blog, ni machinga wa nguo,pia kafungua website ya kuuza nguo online akaiba na trademark za watu, ni bilionea balaa ila hajapenda tu mtoto wake asome st kayumba basii tu ni bahati mbayaa
Halaf pia ni boss wa lara 1
 
Last edited by a moderator:
Ni vyema mkawa wakweli hata kama hamumpendi mtu fulani.

Si kila charter school ni mbaya. Na charter schools zote hazifanani.

Na kupata udahili kwenye hizo shule si lazima mtoto awe anatokea kwenye familia isiyojiweza kabisa.

Bofya hapa kupata FAQs za charter schools.

Nadhani hujaelewa ustaadh hapa hajaongelea ubora Wa elimu
 
Hata kama hamumpendi huyo mange maisha yake binafsi hayakuhusu.....
Uchanganyikiwe kwa ajili ya mange yako yote umeyaweza????? au ndo yawezio umeyakalia yako umeficha!!!!!!!!!!!
tuambie maisha yako then tufanye compalison ttuone nani ni nani?????

Hayo Mapenz yako kwa mange mbona yanakuzidi
yule maaruf kwann asiongelewe?
Am sorry but ww inakuuma nn akiongelewa?
Je angesifiwa ungeongea hayo uliyoongea?
 
Eeeeeee mashabiki wake husemaa,hata lara alisema ni tajiri ana blog, unakumbuka alipigaga picha katawanya pesa kitandaniu huo ni utajiri Ntakasi

Mi mwanae bhoke tu binamu pale nimeoza ,ule mdomo na pozi zake walah mi taaban mwenzio, Niko radh kuuza shamba letu la kimbiji nimpate mtoto yule
 
Last edited by a moderator:
kwa kifupi maisha ya ughaibuni ujanjaujanja lazima uwepo kama mtu anaiona fursa ya kuitumia.

hata tuliopo bongo mtu akipata connection ya watoto yatima wanalipiwa school fees feza schools au any expensive schools sidhani kwa wabongo ninaowajuwa mimi kama wataiacha fursa hiyo.

cha msingi watanzania huko majuu sasa tuuache uswahiliswahili tupendane.

leo hii uchaguzi wa rais wa dmv marekani kampeni za kidini zimeanza eti achaguliwe mwislamu mwenzao idd sandaly, hii ni msg wanatumiwa watanzania waislamu waliopo dmv. hawa ndio watanzania wasiojuwa marekani ni taifa la kikristo lakini kuna wakristo wananyimwa viza na kupewa viza waislamu.

Much respect mkuu
 
Mi mwanae bhoke tu binamu pale nimeoza ,ule mdomo na pozi zake walah mi taaban mwenzio, Niko radh kuuza shamba letu la kimbiji nimpate mtoto yule

Hahhhhhhaaa binamu utamuwezs mtoto wa boss wewe,subiri akuee ndie anasoma chatter school aka kayumba za Us
 
blaza umeniwahi sana kuuliza hili swali....! hivi huyu MANGE ndio nani hasa....?

Mange ni Mwanamke muhangaikaji wa Kitanzania anayeumiza vichwa vya BAADHI ya Wanawake wenzie wale MBURULA (in Le Mutuz Voice ) wengi sana Nje na Ndani ya Tanzania , Mange ni Muke ya Muzungu , Mume Kijana , tofauti na ilivyozoeleka wengi wanaolewa na Wazungu wazee? Full stresss Mange ni Mama ya Watoto watatu , Wa kwanza akiwa amezaa na Kaka yetu Mkurya wa Kitanzania , Very Black & beautiful daughter Bhoke ! Ahsante
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom