Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Yes she is Black and Beautiful very Beautiful ...usifuate kasoro za Mama yake kukosoa Watu kama unajua kuumba No , Mnyonge Mnyongeni na haki yake Mpeni ...she is Beautiful

Ye alivyowakosoa hadi wale marehemu wasio na hatia aliwahi kuumba hata kidole?
Kwa pale nilimshusha....na ukweli usemwe mwanae mbayaaaaaaa!
 
Binamu vipi? Umepigwa tena ban?

Nshaaribu zaman binamu, na sas ivi wameniweza mwez mzima, kwan mi najali? Watajijua wenyew na mabalaa yao min nipo kama ifuatavyo waifunge mwez mwaka watajiju sina habaree
 
Tatizo lenu watu wa mujini mnakariri sana mnajua kazi kuajiriwa serikalini, benki,kampuni za simu na mwisho kujiajiri kwenye maboutique na udalali.Mkishindwa sana mnatafutiwa safari za Brazil na Pakistan.

Siku nikienda Marekan utanikomaaa ww,ntakua nakurushia picha tu mpaka ufeee
 
Yes she is Black and Beautiful very Beautiful ...usifuate kasoro za Mama yake kukosoa Watu kama unajua kuumba No , Mnyonge Mnyongeni na haki yake Mpeni ...she is Beautiful

Binamu nakuaminiaga kwa facts ila Leo umeniangusha, bhoke ana uzur gan? Vile tu yupo ulaya je angekuwa bongo angekuwaje? Yeye si anajifanyag chiz let's play it this way, katoto kake ka kiume ka kenzo ndo kazur ashukur mungu damu ya zeru zeru maana mange anatoaga uchafu tu uko chini
 
Nshaaribu zaman binamu, na sas ivi wameniweza mwez mzima, kwan mi najali? Watajijua wenyew na mabalaa yao min nipo kama ifuatavyo waifunge mwez mwaka watajiju sina habaree

Ila binamu una matusi wewe lakini Tandale ndo jinsi mlivyo,nasikia mahakama ya mwanzo Magomeni ina kesi nyingi kutoka Manzese na Tandale zote za kutukanana matusi.
 
Halafu it's like kama Irene sporah njau wa Sporah show na Mange wanafanana kimuonekano wa nje.
Au mawazo yangu tu!
 
Ila binamu una matusi wewe lakini Tandale ndo jinsi mlivyo,nasikia mahakama ya mwanzo Magomeni ina kesi nyingi kutoka Manzese na Tandale zote za kutukanana matusi.

Hhhhaaaaaa kumbeee ,binamu anijibu hapaa aiseee una utan unao
 
Halafu it's like kama Irene sporah njau wa Sporah show na Mange wanafanana kimuonekano wa nje.
Au mawazo yangu tu!

Weeeeeh...afadhali sporah ana sura nzuri...yule Mrs chori chori ana sura ngumu kama ananawia maji ya zege....
 
Ila binamu una matusi wewe lakini Tandale ndo jinsi mlivyo,nasikia mahakama ya mwanzo Magomeni ina kesi nyingi kutoka Manzese na Tandale zote za kutukanana matusi.

Unajua watu wanashangaza sana , sasa wanasema sisi ma jobless wakat na wenyew kutwa tupo nao humu nashindwa kuwaelewa kabisa, watuache sisi ma jobless na wenyew warud kwenye ma ofisi yao full stop pumbavu sana hawa
 
Tuachane na bhoke ni mtoto,Mange ana uzurii gani na miguu yake Ile kama mikono
 
Hhhhaaaaaa kumbeee ,binamu anijibu hapaa aiseee una utan unao

Si unajua bibie mimi mzaliwa wa Mwananyamala hospital kwahyo wengi wao wa Manzese na Tandale wamezaliwa hapo ,kwahyo mimi wa Kinondoni shamba kwa msokota nywele hao watani zangu japo kwa sasa sipo huko.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…