Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
U are trying to switch on the car baby, I'm too afraid if u start the engine , I pittty you if you can survive

Tatizo lako vitisho vingiiiiiii,
Fanya vitendo,nakuomba niko chini ya miguu yako NIKOMESHE,nikubembeleze vipi labda ili unipe hilo pigo uliloniahidi?
fanya mambo hata majobless wenzio nadhan wsnasubiri kwa hamu unikomeshe,naomba nikomeshe.
Naona tunazinguana tu na ai piti yuu nyingi.Ulishasema vita imeanza sasa unasubiri nn kuniteketeza?
mods naomba msimlambe ban,chochote atakachofanya dhidi yangi nimempa ruhusa mm,labda anaogopa ban ndo mana anaogopa kuingia vitani.NAOMBA MSIIPE BAN.
BABY MAMA bring it.
 
Ha ha halooo ya charter school. Natalia umenipa raha mie
 
Last edited by a moderator:
Ili mradi ni shule nzuri sioni tatizo hapo. Na sidhani kama mange amesema yeye ni tajiri. Ni ana maisha ya kawaida visenti vidogo havimpigi chenga. Ana struggle kutafuta hela so km mtoto wake amepata shule nzuri ya bei nafuu ni sawa pia.

Google mange kimambi utapsta mastory yake yoote moja alisema'bitches bow down I got money' akapiga picha kitandani na mahela
 
Kwani kikwete alijitangaza yeye ni billionaire? Sisi tunamshangaa billionaire Wa Beverly hills anayemilik blog mtoto wake kusoma msondo ngoma wakat alisema yeye ni tajir

Hahahahaaa mkuu umenichekesha sana.mtoto anasoma msondo ngoma primary school...this made my day. Anyway nimekuelewa point yako. Alitakiwa ampeleke Switzerland wanakosoma watoto wa richest people au home schooling..
 
Mimi kama rais wa majobless wamenituma nikueleze kwanza wako very proud kuwa majobless, ila bundle zao ni monthly subscribe unlimited bundle.

Bundle zina speed ya 4g point something, sasa wewe mjasiariamali unayetumia bundle za jero za promotion free 50mb ziko limited speed na time so that u cant enjoy the taste of internet.

Pia kuna ujumbe wako kutoka kwa majobless kwamba wengine wamefanikiwa kuajiliwa hapahapa jf baada ya jf kutangaza ajira za umoderator, kwahiyo majobless wanakutumia tu ujumbe wewe ndio loser maana wenzio wanaenjoy mtandao huku wanalipwa na jf kwa kazi yao ya umoderator.

Last but list, hili niangalizo nakupa mimi sijui hata umejiunga lini utakapoanza kulambwa ban za mwezi mpaka miezi mitatu ndio utaijuwa power of majobless.

Maana majobless wapo ndani chombo cha maamuzi, ogopa sana majobless popote pale uwakutapo, majobless kina kawawa waliokuwa wapiga gumzo mnazi mmoja ndio walileta uhuru wa Tanganyika.

hahaahaaaa....!nimecheka sana leo asante kwa hili!
 
Leo umempatiaje huyu gay mchafu alokosa soko

Hahaaaaassaa.
Mi nilijua saa hizi ntakua hoi napumulia mashine.
Naona askari wake wamemchukua amiri jeshi mkuu wao kimya kimya hata walipotokomea sipajui.
Nashangaa uwanja mzima wa vita nimesimama peke yangu sioni hsta mjusi akikatiza.
Natumai huko alipo anajipanga,atakapokua tayar kunipa pigo na mm nitakua tayari kupokea pigo.
kws sasa sion la maana hapa.
Tuonane kesho jion,nikishafunga genge.

Adios.
 
Kwa nini mnachanganya watoto na hii issue ya Mange. Please watoto wanahitaji privacy yao na ni haki yao. Mmemaliza kutukanana instagram sada mkaamua kuleta kwa ma GT?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom