Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ze utamu alirejeshwa lini nchini ?
Wabongo siku zote wamezoea story za vijiweni ,kwa hiyo hata jamaa aliyeanzisha uzushi wa kukamatwa ze utamu humu jamii forums watu wakamwamini,waandishi makanjanja wakairusha kwenye magazeti yao ya siku iliyofuata.Haluna lolote porojo tu!
Mange ni mgonjwa the best way ya ku-deal na Mange ni kumpuuza ameshawatukana Riz1,January,Lowasa hakuna hata mmoja aliyejisumbua kumjibu lakini yeye anaendelea kuongeza list ya anaowatukana .Mtu aliyekuwa timamu hawezi kufanya mambo anayoyafanyaHivi unajua roho za wanawake zilivyo?
Yani mwanamke atukanweeee atukaniwe baba yake mitusi ya nguoni. Na tena atunanwe siri zake zivujishwe.. Then, leo akae kimya? Huyo labda sio mwanamke tena wa kipare.. Uwii mi nasua avae!!!
Mwacheni Mange hata kama mnamuona ni chizi ila angalieni pande zote .. Yeye sio chizi. Jiulize kwa nini na ujanja wake na matusi yake yote le mutuz anamtukana sana baba yake Mange ila Mange hata siku moja hamtukani mzee malecel?
Mnajua kwa nini?
Mange ana akili zake sana ... Tafuteni chanzo:
january makamba mwenyewe alitulizana.
Utakuwa mjomba wake weweHivi unajua roho za wanawake zilivyo?
Yani mwanamke atukanweeee atukaniwe baba yake mitusi ya nguoni. Na tena atunanwe siri zake zivujishwe.. Then, leo akae kimya? Huyo labda sio mwanamke tena wa kipare.. Uwii mi nasua avae!!!
Mwacheni Mange hata kama mnamuona ni chizi ila angalieni pande zote .. Yeye sio chizi. Jiulize kwa nini na ujanja wake na matusi yake yote le mutuz anamtukana sana baba yake Mange ila Mange hata siku moja hamtukani mzee malecel?
Mnajua kwa nini?
Mange ana akili zake sana ... Tafuteni chanzo:
january makamba mwenyewe alitulizana.
Makonda... le mutuzMange ni mgonjwa the best way ya ku-deal na Mange ni kumpuuza ameshawatukana Riz1,January,Lowasa hakuna hata mmoja aliyejisumbua kumjibu lakini yeye anaendelea kuongeza list ya anaowatukana .Mtu aliyekuwa timamu hawezi kufanya mambo anayoyafanya
Mkuu sasa umeleta huku siunazidi kumdhalilisha huyo aliye tukanwa hapo!
Hiyo mkuu
18+
Alimtukana sana Lowasa aisee!! Dah, afu Lowasa hamjui hata Mange na inawezekana hata hajawahi kumsikia.Mange ni mgonjwa the best way ya ku-deal na Mange ni kumpuuza ameshawatukana Riz1,January,Lowasa hakuna hata mmoja aliyejisumbua kumjibu lakini yeye anaendelea kuongeza list ya anaowatukana .Mtu aliyekuwa timamu hawezi kufanya mambo anayoyafanya
Sina maana hyo mkuu" kaniomba nishare jamaa hayupo instagram nikaona sio mbaya.Mkuu sasa umeleta huku siunazidi kumdhalilisha huyo aliye tukanwa hapo!
-Nyerere-
ndio uzur wake anatunza sir ya wanaomtumiaaMange anachofanya na anapopatia huwa anatumiwa habari zote na watu waliopo serikalini na kwingineko, Ila huwa hatoi siri wala kutaja nani kamtumia habari zile,
Hasaa ndio dhamira yake,hana passport wala uraia wa USA hapo anatukana makusudi,na hivi ameachwa na hana uhakika wa kubaki na wtt so kimbilio lake ni matusi ili later apate ukimbizi.Siasa mchezo mchafu sana,eti saizi ni kamanda wa ufipa baada ya kukosa viti maalum lumumba!....na baada ya kugundua atakuwa deported akaona aitusi serikali ili baadae aombe ukimbizi wa kisiasa.
Ze utamu alivyojulikana identity yake mwenyewe akaacha-hajakamatwa na anaishi powa kabisaHivi ze utamu walifanikiwaje kumrejesha nchini, na kwanini wasitumie mbinu hizo kumnasa huyo Mange
Inaonekana hujui habari za Mange ndio maana unamtetea,Mange ameshatukana mtandaoni watu zaidi ya 100 tena matusi yasiyostahili.Alimtukana sana Lowasa aisee!! Dah, afu Lowasa hamjui hata Mange na inawezekana hata hajawahi kumsikia.
Soln ni kumpuuza kama Lowasa alivyofanya