Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Haluna lolote porojo tu!
Wabongo siku zote wamezoea story za vijiweni ,kwa hiyo hata jamaa aliyeanzisha uzushi wa kukamatwa ze utamu humu jamii forums watu wakamwamini,waandishi makanjanja wakairusha kwenye magazeti yao ya siku iliyofuata.
 
Hivi unajua roho za wanawake zilivyo?
Yani mwanamke atukanweeee atukaniwe baba yake mitusi ya nguoni. Na tena atunanwe siri zake zivujishwe.. Then, leo akae kimya? Huyo labda sio mwanamke tena wa kipare.. Uwii mi nasua avae!!!
Mwacheni Mange hata kama mnamuona ni chizi ila angalieni pande zote .. Yeye sio chizi. Jiulize kwa nini na ujanja wake na matusi yake yote le mutuz anamtukana sana baba yake Mange ila Mange hata siku moja hamtukani mzee malecel?
Mnajua kwa nini?
Mange ana akili zake sana ... Tafuteni chanzo:
january makamba mwenyewe alitulizana.
Mange ni mgonjwa the best way ya ku-deal na Mange ni kumpuuza ameshawatukana Riz1,January,Lowasa hakuna hata mmoja aliyejisumbua kumjibu lakini yeye anaendelea kuongeza list ya anaowatukana .Mtu aliyekuwa timamu hawezi kufanya mambo anayoyafanya
 
Mange anachofanya na anapopatia huwa anatumiwa habari zote na watu waliopo serikalini na kwingineko, Ila huwa hatoi siri wala kutaja nani kamtumia habari zile,
 
Utakuwa mjomba wake wewe
 
Makonda... le mutuz
 
a185e5b7b401be227ed01c67363a4c0c.jpg

Hiyo mkuu
18+
Mkuu sasa umeleta huku siunazidi kumdhalilisha huyo aliye tukanwa hapo!

-Nyerere-
 
Mange ni mgonjwa the best way ya ku-deal na Mange ni kumpuuza ameshawatukana Riz1,January,Lowasa hakuna hata mmoja aliyejisumbua kumjibu lakini yeye anaendelea kuongeza list ya anaowatukana .Mtu aliyekuwa timamu hawezi kufanya mambo anayoyafanya
Alimtukana sana Lowasa aisee!! Dah, afu Lowasa hamjui hata Mange na inawezekana hata hajawahi kumsikia.
Soln ni kumpuuza kama Lowasa alivyofanya
 
Mange anachofanya na anapopatia huwa anatumiwa habari zote na watu waliopo serikalini na kwingineko, Ila huwa hatoi siri wala kutaja nani kamtumia habari zile,
ndio uzur wake anatunza sir ya wanaomtumiaa
 
Siasa mchezo mchafu sana,eti saizi ni kamanda wa ufipa baada ya kukosa viti maalum lumumba!....na baada ya kugundua atakuwa deported akaona aitusi serikali ili baadae aombe ukimbizi wa kisiasa.
Hasaa ndio dhamira yake,hana passport wala uraia wa USA hapo anatukana makusudi,na hivi ameachwa na hana uhakika wa kubaki na wtt so kimbilio lake ni matusi ili later apate ukimbizi.
 
Alimtukana sana Lowasa aisee!! Dah, afu Lowasa hamjui hata Mange na inawezekana hata hajawahi kumsikia.
Soln ni kumpuuza kama Lowasa alivyofanya
Inaonekana hujui habari za Mange ndio maana unamtetea,Mange ameshatukana mtandaoni watu zaidi ya 100 tena matusi yasiyostahili.
 
mhh hakuna hata ukwel anaoongea zaidi ya matus hao watu wake wanamfeed uongo na yeye akiona uongo anafuta post,post nyingi tu za uongo alifidiwa anazifuta akiona wamempa uongo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom