Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Mange anachofanya na anapopatia huwa anatumiwa habari zote na watu waliopo serikalini na kwingineko, Ila huwa hatoi siri wala kutaja nani kamtumia habari zile,
Akikamatwa akabonyezwa vizuri atataja hadi waliopo makaburini
 
Ana stress akiwaona wadada wanafanikiwa anapata kichaa amekaa huko ulaya anavalisha tu watoto pampers na kuwinda vibabu vya kizungu akiona wenzake wanafanikiwa anaanza kuwatukana. Rachel kupata mchumba imekuwa tatizo kaamsha kichaa.
 
Yeah,tatizo raia wanaangalia upande mmoja,huyo mtt wa Rita amemtusi sana Mange na yy lazima ajibu mapigo
 
Ana stress akiwaona wadada wanafanikiwa anapata kichaa amekaa huko ulaya anavalisha tu watoto pampers na kuwinda vibabu vya kizungu akiona wenzake wanafanikiwa anaanza kuwatukana. Rachel kupata mchumba imekuwa tatizo kaamsha kichaa.
Unamjua rachel vizuri?
Unajua alichokifanya kwa mange?
Tit 4 tat
 
Nitajie watu 20 kama wewe sio muongo

Edward Lowasa
Anne Kilango
Naki Kilango
Rachel Temu
Hoyce Temu
Rizwan Kikwete
January Makamba
Mwamvita Makamba
William Malecela
Paul Makonda
Diamond Platinumz
Sintah
DJ Majay
Kinje
Teddy Kalonga
Jackline Mengi
Mboni Masimba
Shamim Mwasha & Mumewe
Linda Bedui
Zari
Jestina George
Kiki
 
Haya lete walichomjibu kwa kila mmoja.
Kama hii ya Rita Mlaki si imeletwa? Haya leta alichojibu daimondi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…