white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
jamami huyu m2u,anayekuwa anazungumza kwenye kipindi cha sports- xtra cha clouds fm,ni yanki au mzee?,kwani ni m2u anayechekesha sana kwa maneno yake(umatemate),utakuta anakupa story ya mechi ya 1968! Kama alikuwepo vile uwanjani! Ki ukweli namkubali sana kwa makeke yake,kila ki2u kinachohusu mpira wa bongo! Je kuna anayemfahamu kiundani? Nawakilisha
Zamani alikuwa anaokota vyuma chakavu na chupa za plastic mitaani. Baada ya hapo sikumwonaga tena...
udambu udambu, jamaa anatoa story kama zilivyotokea na yuko real kama tunavyopiga story mtaani na sio kuigiza. Stori zingine usingepata kuzisikia na ubunifu kama huu ungeenda kwa watu wamikoani na wao wangetupa uhondo wa uko na sio habari za kutafsiri kila kukicha.
Kuna timu kama tukuyu stars na meko kizazi kipya kinahaki ya kupata habari zao, meko walikuwa na pumzi si mchezo wakimaliza gemu wanatroti