white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
jamami huyu m2u,anayekuwa anazungumza kwenye kipindi cha sports- xtra cha clouds fm,ni yanki au mzee?,kwani ni m2u anayechekesha sana kwa maneno yake(umatemate),utakuta anakupa story ya mechi ya 1968! Kama alikuwepo vile uwanjani! Ki ukweli namkubali sana kwa makeke yake,kila ki2u kinachohusu mpira wa bongo! Je kuna anayemfahamu kiundani? Nawakilisha