Who is MIZENGO PINDA? (private & Public)


George W naye anasema ameokoka na wote tumeona anayoyatenda! Bill, mume wa Hillary naye ni mtu wa imani lakini wote tunajua aliyoyatenda. Chiluba ndiye husema kwa ndimi lakini nae? Mtu kujiita ameokoka si kigezo. Cha msingi, ni je, anaishi kama mtu wa mungu? Hiyo tunaweza kujua kutokana na vitendo vyake na si label atakayokuwa amejipa. Vitendo vyake ndivyo vitakavyothibitisha kama kweli anatupenda sisi majirani zake kama nafsi yake mwenyewe!! Anatupenda kiasi cha kuona uchungu pale tunapoumia! Anatupenda kiasi cha kukubali kuosha miguu ya yule aliye kibondo na sehemu nyingine iliyojaa funza? anatupenda kiasi cha kuelewa na kutuhurumia kwa jinsi maisha yanavyotuelemea. Kama yote haya yanamhusu, sina haja ya kujua kama anasema kwa ndimi au la. Kwangu mimi, huyo ni mtu wa Mungu, whether anajiita hivyo au la.
 
kuna mtu jana alipost msafara wa magari wake 20 sijui kamani kweli au la
 
..hali yake tete ....sioni madara yakijengwa tena kwa kasi..pia anao mtihani wa kujenga zahanati kila kijiji..
 
..hali yake tete ....sioni madara yakijengwa tena kwa kasi..pia anao mtihani wa kujenga zahanati kila kijiji..

Umenikumbusha hiki ni kiporo alichokiacha Lowassa ambae aliahidi baada ya kumaliza zoezi la shule za kata anaingia katika zoezi la zahanati za kata lakini naona Pinda anashindwa kwenda na kasi na ari mpya.

Lowassa apart from ufisadi jamaa alikuwa anajua kusimamia mambo na akitaka jambo liwe mwaya by hook and crooks litakuwa.

No wonder wakuu wa wilaya wako likizo sasa hivi maana jamaa aliwaendesha kichizi!
 
Kila kizuri hakikosi Kasoro.....Kabla Hujafa hujaumbika....Mnyonge mnyongeni Haki yake Mpeni....

Pinda...ni nyoka asie na sumu!!!
 


..its true pamoja na madhaifu yake ..lowassa is the man who can "move mountains"....pia ndio pekee aliyekuwa na ubavu wa kumwambia kikwete usoni pale anapokosea..au aka take cover panapostahili...

kwa kuwa edward alikuwa anajuwa udhaifu wa kikwete kiutendaji,,,ndio maana alikuwa akionekana anafanya majukumu ya urais...thats why utwala wa kikwete enzi akiwa na edo ulikuwa hauonekani kupwaya kama sasa...

pinda anayo kazi ngumu ya kuboresha utendaji wake hasa kwenye usimamizi na kuchochea mambo yafanyike kwa wakati...ili kumsaidia rais kutekeleza ahadi zake.......awe mkali kimsingi!...kwa sasa bado..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…