Who is MIZENGO PINDA? (private & Public)

Who is MIZENGO PINDA? (private & Public)

Huyu Mh Pinda ni mu-ikulu maana tangu kaanza kazi ikulu ndio ofisini kwake!
Kama mshauri wa marais Nyerere, Mwinyi, na Mkapa anawajibika kwa ushauri gani aliotoa kwa kufanikiwa na kufeli??
Kama katibu wa Kabineti nyaraka na miswaada ndio wajibu wake... Mmmh, iko mingi iliyomabomu!
Akiwa waziri wa TAMISEMI angalau alirekebisha unyanyasaji aliofanyiwa diwani wa upinzani Tanga. Courage??
Je, drive for results?? maana hii inagomba kweli kwa waserikali wengi wa TZ
 
[Kama katibu wa Kabineti nyaraka na miswaada ndio wajibu wake... Mmmh, iko mingi iliyomabomu!/QUOTE]

By the way, job description ya Clerk wa Ikulu ni nini? Isije ikawa mzee alikuwa anafile mafile na kuwapangia documents waezee?

Au ni euphemism ya Secret Service-State House?
 
Mavazi tu Pundit,

Chiluba aliiba pesa akanunua suti za 1 m USD.

Mimi hili jambo la kuvaa mitai mirefu, misuti ya ajabu ili kuiga wazungu.... yaani silipendi kabisa!

Kwanza who set the so called 'standards' ????

Muhimu ni usafi wa moyo na uadilifu- mavazi saa ingine huficha maovu!

PM vaa tu vazi la kawaida na heshima... sii lazima avae kama mzungu!
 
Waliokuwa wanaulizia mke wa waziri mkuu, huyu hapa kwenye picha kushoto anaitwa Tunu Rehani Pinda.

[media]http://bp2.blogger.com/_HO8ijU76ZcQ/R63UOe7u9jI/AAAAAAAAM9M/yr-Fqw61uE0/s1600-h/IMG_6596.JPG[/media]

Picha kwa hisani ya Muhiddin Issa Michuzi wa [media]http://www.issamichuzi.blogspot.com[/media]
 
Mavazi tu Pundit,

Chiluba aliiba pesa akanunua suti za 1 m USD.

Mimi hili jambo la kuvaa mitai mirefu, misuti ya ajabu ili kuiga wazungu.... yaani silipendi kabisa!

Kwanza who set the so called 'standards' ????

Muhimu ni usafi wa moyo na uadilifu- mavazi saa ingine huficha maovu!

PM vaa tu vazi la kawaida na heshima... sii lazima avae kama mzungu!

Mengi zaidi ya mavazi tumesema, from invoking all the wrong people to having no merit than allegedly not being involved with corruption, which is sadly nowadays a qualification.

Nishasema huko juu kwamba si madhumuni yangu awe flashy, Sokoine alikuwa alleged kuwa na suti zinazohesabika, lakini sijawahi kuona hata picha moja ya Sokoine amevaa suti kubwa huku mfulana umejitokeza huooo.Now kama mshua yuko nyumbani jumapili jioni amechill thats another matter, on the confirmation day? It becomes more than just a tacky suit with a an impossibly appalling tshirt showing underneath, it demonstrates poor judgement.
 
Waliokuwa wanaulizia mke wa waziri mkuu, huyu hapa kwenye picha kushoto anaitwa Tunu Rehani Pinda.

[media]http://bp2.blogger.com/_HO8ijU76ZcQ/R63UOe7u9jI/AAAAAAAAM9M/yr-Fqw61uE0/s1600-h/IMG_6596.JPG[/media]

Picha kwa hisani ya Muhiddin Issa Michuzi wa [media]
http://www.issamichuzi.blogspot.com[/media]

Natumai ulikuwa na maana ya picha hii hapo chini...

Tunu%26mlaki.jpg
 
Tatizo siyo mavazi ya kiafrika, nimeongelea hili, mbona hata mzee Malecela anavaa suti zake na watu hatusemi, kwa sababu mzee anajua etiquette na anpangilia vitu.

Tatizo langu ni ile kuvaa suti tacky bila shati halafu kivest cheupe kinaonekana, on his confirmation day no less.

Clearly he is no Mandela when it comes to dress.

Naona hapa tumeshupalia mavazi. Siku hizi mimi nimejiamulia kuvaa ki-Ahmedinadijad,
bila tai shingoni baada ya tai kunihanisi na bakuli la mchuzi.
 
Naona hapa tumeshupalia mavazi. Siku hizi mimi nimejiamulia kuvaa ki-Ahmedinadijad,
bila tai shingoni baada ya tai kunihanisi na bakuli la mchuzi.

Jasusi hiyo poa, as long as inajulikana unavaa ki Ahmadinajad.

Tatizo ni pale unapomix Ahmadinajad na madudud mengine ya ajabu which is what our PM is doing and people do not get.Whatever you do be consistent.
 
Nadhani hii ni kaunda suti ambayo vifungo vimeanzia chini

303260774.jpg
 
Asante Kibunango,
Natumai ulikuwa na maana ya picha hii hapo chini...

picha ndiyo hiyo hasa niliyokusudia. Hapo anaonekana akiwa na mbunge wa viti maalumu Martha Mlata.

Samahani wakuu, ni yupi huyo, manake hata huyo martha mlata simfahamu.
 
Kwani kusoma mpaka uwe mwanasiasa? Kuna courses nyingi tu pale Open University. Kwa siku hizi kukaa na bachelor degree miaka 30 bila hata kusoma ka certificate (post graduate certificate) ni uvivu wa hali ya juu.

Wengine tunaita continous improvement, sasa utaimpove vipi wakati hutaki kujiendeleza?

Si kozi zote unazohudhuria unazitia kwenye CV. Najua serikalini wana vikozi, visemina kibao ambavyo bila shaka huyu mheshimiwa amehudhuria. Mnasema ni mtu wa system, sasa mnataka na mafunzo aliyoyapata ki'system' ayaanike in public?
 
Fundi Mchundo,

Mimi nilikuwa naongelea kujiendeleza nje ya courses za kazini. Ni muhimu sana kwa Watanzania kuanza kujiendeleza taratibu. Dunia sasa inabadilika haraka mno na njia pekee ya ku cope na hayo mabadiliko ni kuendelea kujisomea hata kama ni hizo certificates. Wala huhitaji kuacha kazi na sasa kuna open university, hivyo ni rahisi mno.

LLB ya miaka 35 iliyopita, huyo sio lawyer tena na badala yake ni administrator maana ndio kazi alikuwa anafanya Ikulu.

Tusianze mambo ya Sumaye ya kujifanya kuja kusoma baada ya kustaafu, muhimu kujiendeleza muda wote vinginevyo utaachwa nyuma na haya mabadiliko yanayovuma kwa kasi.

Of course sio lazima apate vyeti na aandike kwenye CV. Unaweza kujiendeleza kwa kujisomea mwenyewe na inaweza isiwe rahisi kwasisi wengine kujua kama amefanya hivyo au la. Ila kwa jinsi ninavyowajua Watanzania, mtu akitaka kujisomea, atasisitiza iwepo na certificate ili aandike kwenye CV na kutundika ukutani.
 
Kuna mwaka mmoja nilihudhuria kozi moja ya jinsi kutathimini miradi ya serikali na binafsi iliyochukua muda wa siku saba za kazi na kuwashirikisha wadau toka sekta mbalimbali nchini na nje. Siku ya kufungwa kwa Kozi hiyo Wadau toka nchini tulihamaki sana baada ya kugundua kuwa hakutotolewa vyeti. Kwa ufupi ilikuwa ni kizaazaa. Baaada ya majadiliano marefu, walioandaa kozi hiyo "Wajerumani" kupitia asasi moja ya miradi ya Afrika ya Kusini walikubali kukutumia vyeti kwa njia ya Posta...
 
Mtanzania,

Aliyekupa habari nafikiri hamjui Pinda, ukweli ni kuwa baada ya mke wake wa kwanza kufa ni kweli alikaa muda mrefu saana bila mke na ndipo alipokutana na huyu mke wake wa sasa.

Na wala la kusema alioa mdogo wa mke wake ni uongo mtupu.
 
Kwani Mh. Pinda ana mke?

Mkuu swali gani hili? Nashangaa kwa kuwa naamini utakuwa umeshasoma katika thread hii na kuona jina na picha ya mke wa mheshimiwa, ambaye tumeambiwa anaitwa Tunu Rehani Pinda. Au mkuu una habari tofauti? Basi kama hivyo tugee na sie wenzio tuzijue kama ziko habari tafauti!
 
Back
Top Bottom