Ukweliii
Member
- Feb 10, 2008
- 58
- 0
Huyu Mh Pinda ni mu-ikulu maana tangu kaanza kazi ikulu ndio ofisini kwake!
Kama mshauri wa marais Nyerere, Mwinyi, na Mkapa anawajibika kwa ushauri gani aliotoa kwa kufanikiwa na kufeli??
Kama katibu wa Kabineti nyaraka na miswaada ndio wajibu wake... Mmmh, iko mingi iliyomabomu!
Akiwa waziri wa TAMISEMI angalau alirekebisha unyanyasaji aliofanyiwa diwani wa upinzani Tanga. Courage??
Je, drive for results?? maana hii inagomba kweli kwa waserikali wengi wa TZ